Swali kwa CCM: Ikiwa "makosa" ya Membe, Makamba na Kinana yalihumhusu Magufuli, ilikuwa sahihi kwa Magufuli kuwa Mwenyekiti wa Kamati iliyowaadhibu?

Ndugu yangu, mbona unajifahanya hamnazo? Hivi kweli hufahamu kuwa mwenyekit wa kamati kuu pamoja na ile ya halmashauri kun ni mwenyekiti?
 
Ndugu yangu, mbona unajifahanya hamnazo? Hivi kweli hufahamu kuwa mwenyekit wa kamati kuu pamoja na ile ya halmashauri kun ni mwenyekiti?
Sasa wewe uliyenazo sijui ndio umeongea utumbo gani hapa, maana kwenye post yako mtu huoni kichwa wala miguu, halafu unkuwa wa kwanza kuita wenzako hamnazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…