Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 6,101
- 11,381
Hua mnafanya kwa ajili ya nani?Na sio kila anaefanya hayo uliyoyaorodhesha anafanya kwa ajili ya mwanaume
Kwa ajili yetu wenyeweHua mnafanya kwa ajili ya nani?
Dolla kama zimekuwa nyingi nijitolee ulinzNna pini mbili puani aka kishaufu.
Nilivalishwa na Shangazi yangu wa Bandia baada ya kutoka unyagoni.
Navaa pete vidole vya miguuni sababu sipendi kubandika kucha.
Ningekuwa siogopi maumivu ningetoboa pua na sikio mara tatuSikio zaidi ya moja na kutoboa pua huwa inanikata stimu kabisa
🙌😂
Dolla kama zimekuwa nyingi nijitolee ulinz
Sikio zaidi ya moja na kutoboa pua huwa inanikata stimu kabisa
🙌😂
Haipendezi kulwa tundu moja linatosha halafu kuna vieleni fulani simple ke akiviweka aisee huwa nahamasika sana.Ningekuwa siogopi maumivu ningetoboa pua na sikio mara tatu
Napenda na zile za kitovu pia
Msala mwambie nimetuma dedication kabisaMbachao una fujoooo...!?[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Msala anakutolea mimacho anasoma komenti zako...[emoji28]
Daah umeshapika udaga tayari mdaa huu maana hupitwi ndugu yangu khaaa 🙌 🙌🙌🙌🙌We haupendi???
Msala mwambie nimetuma dedication kabisa
Sasa mfano nakubalijee dolla zibebwe na bajaji kwq mfanooo....Aaahahahahhaaaa ngoja atokee hapa atakudundaaaa.....!
Anakodoa macho yoteee.
Sasa mfano nakubalijee dolla zibebwe na bajaji kwq mfanooo....
MbachaooooooooooAaahahahahahhaaaa
Hebu ngoja kwanzaaa....!!!
Nani amekunong’onenza maudhaifu yangu lakini...!?
Mbona unapita mulemule....!!
Punguza mitego basii aahahahahaa[emoji38][emoji38][emoji38].
Mbachaoooooooooo
Hahahahahaha sasa acha asije ghairishaa kukuita tena make tokea ujichukulie dollars uko bize na simu...usiku mwemaLoooh Mbachao huyuuu....!
Ntamfinyaaa....!!!
Ngoja aje, ndo anauza ramani hivooo...!