Swali kwa dada zetu...

Swali kwa dada zetu...

Ambition plus

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2018
Posts
6,101
Reaction score
11,381
Habari za midaa hii?

Nina swali kidogo kwenu dada zangu, Je nina mwanaume gani alikwambia anapenda/ama anapendezwa na nitakavyoviorodhesha?

Kutoga masikio zaidi ya tundu moja,
Kutoga pua,
Kutoga ulimi,
Kutoga kitovu na sehem zingine za mwili,
Kuvaa vikuku,
Kuchora tattoos,
Kujichubua,

Nimeuliza tu sio kwa nia mbaya,msijenge chuki

Wasalaam,
Nawasilisha mada.
 
Na sio kila anaefanya hayo uliyoyaorodhesha anafanya kwa ajili ya mwanaume
 
Nna pini mbili puani aka kishaufu.

Nilivalishwa na Shangazi yangu wa Bandia baada ya kutoka unyagoni.

Navaa pete vidole vya miguuni sababu sipendi kubandika kucha.
 
Nna pini mbili puani aka kishaufu.

Nilivalishwa na Shangazi yangu wa Bandia baada ya kutoka unyagoni.

Navaa pete vidole vya miguuni sababu sipendi kubandika kucha.
Dolla kama zimekuwa nyingi nijitolee ulinz
 
Sikio zaidi ya moja na kutoboa pua huwa inanikata stimu kabisa
🙌😂
Ningekuwa siogopi maumivu ningetoboa pua na sikio mara tatu

Napenda na zile za kitovu pia
 
Ningekuwa siogopi maumivu ningetoboa pua na sikio mara tatu

Napenda na zile za kitovu pia
Haipendezi kulwa tundu moja linatosha halafu kuna vieleni fulani simple ke akiviweka aisee huwa nahamasika sana.
 
Mbachao una fujoooo...!?[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Msala anakutolea mimacho anasoma komenti zako...[emoji28]
Msala mwambie nimetuma dedication kabisa
 
Sasa mfano nakubalijee dolla zibebwe na bajaji kwq mfanooo....

Aaahahahahahhaaaa

Hebu ngoja kwanzaaa....!!!

Nani amekunong’onenza maudhaifu yangu lakini...!?

Mbona unapita mulemule....!!

Punguza mitego basii aahahahahaa😆😆😆.
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Aaahahahahahhaaaa

Hebu ngoja kwanzaaa....!!!

Nani amekunong’onenza maudhaifu yangu lakini...!?

Mbona unapita mulemule....!!

Punguza mitego basii aahahahahaa[emoji38][emoji38][emoji38].
Mbachaoooooooooo
 
Loooh Mbachao huyuuu....!

Ntamfinyaaa....!!!

Ngoja aje, ndo anauza ramani hivooo...!
Hahahahahaha sasa acha asije ghairishaa kukuita tena make tokea ujichukulie dollars uko bize na simu...usiku mwema
 
Back
Top Bottom