Ugumu wangu
JF-Expert Member
- May 6, 2021
- 1,685
- 3,552
Hahahaha na ugali wa kwenye chungu alafu wa moto, hapa sansa pembeni nswalu kumbuka asubuhi ulijipigia zako michembe🏃🏃🏃🏃🙌🙌🤪🤪🤪🤪Nimezimiss sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha na ugali wa kwenye chungu alafu wa moto, hapa sansa pembeni nswalu kumbuka asubuhi ulijipigia zako michembe🏃🏃🏃🏃🙌🙌🤪🤪🤪🤪Nimezimiss sana
Bado mbute 😂 kwaheri buana tunaharibu uzi wa watuHahahaha na ugali wa kwenye chungu alafu wa moto, hapa sansa pembeni nswalu kumbuka asubuhi ulijipigia zako michembe🏃🏃🏃🏃🙌🙌🤪🤪🤪🤪
Hellow kasie mambo?
Long time heee sikuoni jukwaani.
Pete na kucha vinaingilianaje aisee?
Viko vingi nafanya kwa ajil ya ku impress watu ndio,kwani vibaya
Mfano napenda kunukia vizuri afu ukinipa compliment furaha yangu inakamilika.
Asanteeeee Studio 🥱Kwa ajili yetu wenyewe
Ni kama wanaume wanaovaa mlegezo,huwa wanavaa kwa ajili ya nani?