Swali kwa Dkt. Hosea: Rais Samia hana mamlaka ya kutangaza hali ya hatari kwenye sekta ya uchumi na kusitisha kwa muda haki ya kujumuika?

Nimeona tamko la Dk Hosea Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika.

Anatetea uhuru wa kujumuika hata baada ya Rais kutangaza hali ya hatari katika sekta ya uchumi na kwa sababu hiyo kusitisha kwa muda haki ya kujumuika katika mikutano ya hadhara.

Dk Hosea hajajipambanua vema. Hivo, napenda kumwuliza:

Kwa mujibu wa Katiba ya nchi na Sheria ya Madaraka ya dharula, Rais wa Tanzania hana mamlaka ya kutangaza hali ya hatari kwenye sekta ya uchumi na kusitisha kwa muda haki ya kujumuika kwa sababu hiyo, kama Rais Samia alivyofanya 29 Machi 2021 siku alipoongea na wahariri wa vyombo vya habari?

Siku hiyo alisema kuwa uchumi umeshuka kutoka GDP ya 6.9 hadi GDP ya 4.8 hivi
Unapotangaza dharula ni Amri,siyo unakaribisha maswali.
Pili hiyo dharula ilenge makundi yote,uchumi haujayumba angalia misafara ya Mwigulu
 
Unadhani anakuelewa basi.

Ameshakunywa maji ya bendera
 
PM ni trusted source akiwa Bungeni pekee. Nje ya hapo tuna Rais mtendaji.
Kwani bunge linakaa kila siku ndani ya mwaka?Kwa hiyo wakati kukiwa hakuna vikao vya bunge PM hawezi kutoa taarifa pamoja na maelekezo ya serikali?
 
Amekurupuka tu kutoka usingizini akaanza kuandika upupu JF badala ya kumuandaa mume wake awahi kazini. Mume wake huyu na mama D wana hasara sana.

Unataka mume wangu akuoe wewe umpe faida ipi hiyo Yoda

Maana unachojua wewe ni ufirauni tuu

Mfyuuuuuu
 
Nimeona tamko la Dk Hosea Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika.

Anatetea uhuru wa kujumuika hata baada ya Rais kutangaza hali ya hatari katika sekta ya uchumi na kwa sababu hiyo kusitisha kwa muda haki ya kujumuika katika mikutano ya hadhara.

Dk Hosea hajajipambanua vema. Hivo, napenda kumwuliza:

Kwa mujibu wa Katiba ya nchi na Sheria ya Madaraka ya dharula, Rais wa Tanzania hana mamlaka ya kutangaza hali ya hatari kwenye sekta ya uchumi na kusitisha kwa muda haki ya kujumuika kwa sababu hiyo, kama Rais Samia alivyofanya 29 Machi 2021 siku alipoongea na wahariri wa vyombo vya habari?

Siku hiyo alisema kuwa uchumi umeshuka kutoka GDP ya 6.9 hadi GDP ya 4.8 hivi
Rais hakukataza haki za kujumuika,tusimsingizie

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Nimeona tamko la Dk Hosea Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika.

Anatetea uhuru wa kujumuika hata baada ya Rais kutangaza hali ya hatari katika sekta ya uchumi na kwa sababu hiyo kusitisha kwa muda haki ya kujumuika katika mikutano ya hadhara.

Dk Hosea hajajipambanua vema. Hivo, napenda kumwuliza:

Kwa mujibu wa Katiba ya nchi na Sheria ya Madaraka ya dharula, Rais wa Tanzania hana mamlaka ya kutangaza hali ya hatari kwenye sekta ya uchumi na kusitisha kwa muda haki ya kujumuika kwa sababu hiyo, kama Rais Samia alivyofanya 29 Machi 2021 siku alipoongea na wahariri wa vyombo vya habari?

Siku hiyo alisema kuwa uchumi umeshuka kutoka GDP ya 6.9 hadi GDP ya 4.8 hivi
Soma vizuri vifungu hivi kuhusu hali ya hatari kwenye Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (1977) na useme ni kifungu kipi Rais alikitumia "kutangaza hali ya hatari ya kiuchumi" kama ulivyoiweka:
32(1) Bila ya kuathiri Katiba hii, au sheria iliyotungwa na
Bunge kwa ajili hiyo, Rais aweza kutangaza hali ya hatari katika
Jamhuri ya Muungano au katika sehemu yake yoyote.
(2) Rais aweza tu kutangaza kuwa kuna hali ya hatari iwapo-
(a) Jamhuri ya Muungano iko katika vita; au
(b) kuna hatari hasa kwamba Jamhuri ya Muungano
inakaribia kuvamiwa na kuingia katika hali ya vita; au
(c) kuna hali halisi ya kuvurugika kwa amani ya jamii au
kutoweka kwa usalama wa jamii katika Jamhuri ya
Muungano au sehemu yake yoyote kiasi kwamba ni
lazima kuchukua hatua za pekee ili kurejesha amani
na usalama; au
(d) kuna hatari dhahiri na kubwa, kiasi kwamba amani ya
jamii itavurugika na usalama wa raia kutoweka katika
Jamhuri ya Muungano au sehemu yake yoyote
ambayo haiwezi kuepukika isipokuwa kwa kutumia
mamlaka ya pekee; au
(e) karibu kutatokea tukio la hatari au tukio la balaa au la
baa ya kimazingira ambalo linatishia jamii au sehemu
ya jamii katika Jamhuri ya Muungano; au
(f) kuna aina nyingineyo ya hatari ambayo kwa dhahiri ni
tishio kwa nchi.
(3) Endapo inatangazwa kwamba kuna hali ya hatari katika
Jamhuri ya Muungano nzima, au katika Tanzania bara nzima au
Tanzania Zanzibar nzima, Rais atatuma mara nakala ya tangazo
hilo kwa Spika wa Bunge ambaye, baada ya kushauriana na
Kiongozi wa Shughuli za Serikali Bungeni, ataitisha mkutano wa
Bunge, ndani ya siku zisizozidi kumi na nne, ili kuitafakari hali ya
mambo na kuamua kupitisha au kutopitisha azimio, litakaloungwa
mkono na kura za wajumbe wasiopungua theluthi mbili ya
wajumbe wote, la kuunga mkono tangazo la hali ya hatari
lililotolewa na Rais.
(4) Bunge laweza kutunga sheria inayoweka masharti kuhusu
nyakati na utaratibu ambao utawawezesha watu fulani wenye
kusimamia utekelezaji wa mamlaka ya Serikali katika sehemu
mahususi za Jamhuri ya Muungano kumuomba Rais kutumia
madaraka aliyopewa na ibara hii kuhusiana na yoyote kati ya
sehemu hizo endapo katika sehemu hizi kunatokea yoyote kati
ya hali zilizotajwa katika aya ya (c), (d) na (e) za ibara ndogo ya
(2) na hali hiyo haivuki mipaka ya sehemu hizo, na pia kwa ajili
ya kufafanua utekelezaji wa mamlaka ya Serikali wakati wa hali
ya hatari.
(5) Tangazo la hali ya hatari lililotolewa na Rais kwa mujibu
wa ibara hii litakoma kutumika-
(a) iwapo litafutwa na Rais;
(b) endapo zitapita siku kumi na nne tangu tangazo
lilipotolewa kabla ya kupitishwa azimio lililotajwa
katika ibara ndogo ya (3);
(c) baada ya kupita muda wa miezi sita tangu tangazo
hilo lilipotolewa; isipokuwa kwamba kikao cha Bunge
cha weza, kabla ya muda wa miezi sita kupita,
kuongeza mara kwa mara muda wa tangazo hilo
kutumika kwa vipindi vya miezi mingine sita kwa
azimio litakaloungwa mkono na kura za wajumbe wa
kikao hicho wasiopungua theluthi mbili ya wajumbe
wote;
(d) wakati wowote ambapo mkutano wa Bunge
utalitengua tangazo hilo kwa azimio litakaloungwa
mkono na kura za wajumbe waiopungua theluthi mbili
ya wajumbe wote.
(6) Kwa madhumuni ya kuondoa mashaka juu ya ufafanuzi
au utekelezaji wa masharti ya ibara hii, masharti ya sheria
iliyotungwa na Bunge na ya sheria nyingine yoyote, inayohusu
utangazaji wa hali ya hatari kama ilivyotajwa katika ibara hii,
yatatumika tu katika sehemu ya Jamhuri ya Muungano ambapo
hali hiyo ya hatari imetangazwa.
 
1. Hamna kitu kama hali ya hatari ( State of Emergency) ya kiuchumi.
2. Hajatangaza hali yeyote ya hatari. Bila kufanya hivyo anakiuka Katiba kwa kuingilia uhuru wa raia wenzake wa kukutana na kubadilishana mawazo bila kubughudhiwa na mtu au taasisi yeyote.
3. Alilofanya Machi ni kuelezea hali ilivyo kiuchumi na haikuwa declaration ya state of emergency.

Amandla...
 
Yaani wakati wa Nyerere uchumi ulipokuwa unakua kwa negative growth haijawahi kutangazwa State of Emergency, leo uchumi unakua, japo kwa slow rate lakini ni overall positive eti utangaze hali ya hatari. Hatari gani?

Labda umesahau uchumi umeanza kukua kwa around asilimia saba lini, ni mwishoni mwa miaka ya Ben na Katika kipindi cha Jakaya.

Kipondi cha Magufuli uchumi ulikuwa unakua below 7%
 
Yaani wakati wa Nyerere uchumi ulipokuwa unakua kwa negative growth haijawahi kutangazwa State of Emergency, leo uchumi unakua japo kwa slow rate lakini ni overall positive eti utangaze hali ya hatari. Hatari gani?
Kuna watu sijui ni shida gani wanachangia hata kitu wasichokifahamu kikoje na huwa kinafanyikaje. Ni shida sana!
 
Yaani wakati wa Nyerere uchumi ulipokuwa unakua kwa negative growth haijawahi kutangazwa State of Emergency, leo uchumi unakua, japo kwa slow rate lakini ni overall positive eti utangaze hali ya hatari. Hatari gani?

Labda umesahau uchumi umeanza kukua kwa around asilimia saba lini, ni mwishoni mwa miaka ya Ben na Katika kipindi cha Jakaya.

Kipondi cha Magufuli uchumi ulikuwa unakua below 7%

Uchumi ukishu toka 6.8% hadi 4.8% kuna tofauti ya 2, maana yake ni negative economic growth ya 42%.

Maana yake tumeondoka uchumi wa kati na kuingia uchumi wa chini. Hiyo sio hali ya hatari ktk sekta ya uchumi?

Kwa heri
 
Nimeona tamko la Dk Hosea Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika.

Anatetea uhuru wa kujumuika hata baada ya Rais kutangaza hali ya hatari katika sekta ya uchumi na kwa sababu hiyo kusitisha kwa muda haki ya kujumuika katika mikutano ya hadhara.

Dk Hosea hajajipambanua vema. Hivo, napenda kumwuliza:

Kwa mujibu wa Katiba ya nchi na Sheria ya Madaraka ya dharula, Rais wa Tanzania hana mamlaka ya kutangaza hali ya hatari kwenye sekta ya uchumi na kusitisha kwa muda haki ya kujumuika kwa sababu hiyo, kama Rais Samia alivyofanya 29 Machi 2021 siku alipoongea na wahariri wa vyombo vya habari?

Siku hiyo alisema kuwa uchumi umeshuka kutoka GDP ya 6.9 hadi GDP ya 4.8 hivi
Kuandika kila mtu anaweza ila kuandika kinachotawaliwa na mifumo sahihi ni lazima shule iwe imepanda kidogo.
Hali ya hatari haitangazwi kama biashaara ya machinga au sokoni. State of Emergency requires official approvals including parliament and cabinet!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! and should be strong reasons to do so!!!!!!! uchumi mbovu siyo mojawapo wa kigezo cha kutangaza hali ya hatari. Please be a bit sensible
 
Soma vizuri vifungu hivi kuhusu hali ya hatari kwenye Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (1977) na useme ni kifungu kipi Rais alikitumia "kutangaza hali ya hatari ya kiuchumi" kama ulivyoiweka:
32(1) Bila ya kuathiri Katiba hii, au sheria iliyotungwa na
Bunge kwa ajili hiyo, Rais aweza kutangaza hali ya hatari katika
Jamhuri ya Muungano au katika sehemu yake yoyote.
(2) Rais aweza tu kutangaza kuwa kuna hali ya hatari iwapo-
(a) Jamhuri ya Muungano iko katika vita; au
(b) kuna hatari hasa kwamba Jamhuri ya Muungano
inakaribia kuvamiwa na kuingia katika hali ya vita; au
(c) kuna hali halisi ya kuvurugika kwa amani ya jamii au
kutoweka kwa usalama wa jamii katika Jamhuri ya
Muungano au sehemu yake yoyote kiasi kwamba ni
lazima kuchukua hatua za pekee ili kurejesha amani
na usalama; au
(d) kuna hatari dhahiri na kubwa, kiasi kwamba amani ya
jamii itavurugika na usalama wa raia kutoweka katika
Jamhuri ya Muungano au sehemu yake yoyote
ambayo haiwezi kuepukika isipokuwa kwa kutumia
mamlaka ya pekee; au
(e) karibu kutatokea tukio la hatari au tukio la balaa au la
baa ya kimazingira ambalo linatishia jamii au sehemu
ya jamii katika Jamhuri ya Muungano; au
(f) kuna aina nyingineyo ya hatari ambayo kwa dhahiri ni
tishio kwa nchi.
(3) Endapo inatangazwa kwamba kuna hali ya hatari katika
Jamhuri ya Muungano nzima, au katika Tanzania bara nzima au
Tanzania Zanzibar nzima, Rais atatuma mara nakala ya tangazo
hilo kwa Spika wa Bunge ambaye, baada ya kushauriana na
Kiongozi wa Shughuli za Serikali Bungeni, ataitisha mkutano wa
Bunge, ndani ya siku zisizozidi kumi na nne, ili kuitafakari hali ya
mambo na kuamua kupitisha au kutopitisha azimio, litakaloungwa
mkono na kura za wajumbe wasiopungua theluthi mbili ya
wajumbe wote, la kuunga mkono tangazo la hali ya hatari
lililotolewa na Rais.
(4) Bunge laweza kutunga sheria inayoweka masharti kuhusu
nyakati na utaratibu ambao utawawezesha watu fulani wenye
kusimamia utekelezaji wa mamlaka ya Serikali katika sehemu
mahususi za Jamhuri ya Muungano kumuomba Rais kutumia
madaraka aliyopewa na ibara hii kuhusiana na yoyote kati ya
sehemu hizo endapo katika sehemu hizi kunatokea yoyote kati
ya hali zilizotajwa katika aya ya (c), (d) na (e) za ibara ndogo ya
(2) na hali hiyo haivuki mipaka ya sehemu hizo, na pia kwa ajili
ya kufafanua utekelezaji wa mamlaka ya Serikali wakati wa hali
ya hatari.
(5) Tangazo la hali ya hatari lililotolewa na Rais kwa mujibu
wa ibara hii litakoma kutumika-
(a) iwapo litafutwa na Rais;
(b) endapo zitapita siku kumi na nne tangu tangazo
lilipotolewa kabla ya kupitishwa azimio lililotajwa
katika ibara ndogo ya (3);
(c) baada ya kupita muda wa miezi sita tangu tangazo
hilo lilipotolewa; isipokuwa kwamba kikao cha Bunge
cha weza, kabla ya muda wa miezi sita kupita,
kuongeza mara kwa mara muda wa tangazo hilo
kutumika kwa vipindi vya miezi mingine sita kwa
azimio litakaloungwa mkono na kura za wajumbe wa
kikao hicho wasiopungua theluthi mbili ya wajumbe
wote;
(d) wakati wowote ambapo mkutano wa Bunge
utalitengua tangazo hilo kwa azimio litakaloungwa
mkono na kura za wajumbe waiopungua theluthi mbili
ya wajumbe wote.
(6) Kwa madhumuni ya kuondoa mashaka juu ya ufafanuzi
au utekelezaji wa masharti ya ibara hii, masharti ya sheria
iliyotungwa na Bunge na ya sheria nyingine yoyote, inayohusu
utangazaji wa hali ya hatari kama ilivyotajwa katika ibara hii,
yatatumika tu katika sehemu ya Jamhuri ya Muungano ambapo
hali hiyo ya hatari imetangazwa.

Soma 32(f)

Halafu tofautisha haya

1- tz yote plus sekta zote
2- tz yote plus baadhi ya sekta
3-sehemu ya tz plus sekta zote
4-sehemu ya tz plus baadhi ya sekta

Bunge linahusika ktk na. 1 pekee
 
Uchumi gani huo upo kwenye hatari?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Si mlisema tupo kwenye uchumi wa kati na uchumi unakuwa kwa kasi ya ajabu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Tamko at time T1 linafutwa na tamko at time T2. Tayari hili limetokea
 
Sawa maana elimu yako ndivyo inavyo kutuma na pia uvivu wa kusoma katiba maana iko very clear kwenye state of emergency factors!!!!!!!!!!!!!!

Nimeshajibu jambo hili. In fact, pamoja na fujo zake, Magufuli was right on this point. Hakuna Taifa linaendeshwa kama mji wa samaki aina ya kambale wenye ndevu tangu mtoto, mama, hadi baba
 
Uchumi ukishu toka 6.8% hadi 4.8% kuna tofauti ya 2, maana yake ni negative economic growth ya 42%.

Maana yake tumeondoka uchumi wa kati na kuingia uchumi wa chini. Hiyo sio hali ya hatari ktk sekta ya uchumi?

Kwa heri
Kwa hiyo uchumi ukipanda kwa 9% ukashuka mpaka 7% inabidi tutangaze hali ya hatari?

Sasa hiyo hali ya hatari itatangazwa mara ngapi maana uchumi ni dynamic graph yake ni random
 
Back
Top Bottom