Swali kwa DPP, ikiwa Marehemu alinyongwa na dokta kuthibitisha alikufa kwa kukosa hewa, Je damu iliyoonekana kwenye fulana ilitoka wapi?

Swali kwa DPP, ikiwa Marehemu alinyongwa na dokta kuthibitisha alikufa kwa kukosa hewa, Je damu iliyoonekana kwenye fulana ilitoka wapi?

Kwani mtu hawezi pigwa akamaliziwa kwa kunyongwa? Unadhani haikuwepo purukushani kabla ya kumnyonga?
Mwili wa marehem ulijeruhiwa?. Nakama ndio mbona maelezo ya DPP hayazungumzi hilo, licha yakusema Mambo mengi yasiyo namsingi kama nguo za watuhumiwa, hasa zahuyo mmoja alievaa sare za CDM?.
 
Jamaa watashinda kesi mapema tu,wamempa kesi ili diwani apite bila kupigiwa kura
Sasa wasijeshangaa, diwani akapigiwa kurua na akashinda huku akiwa gerezani. halafu hawa wahuni wanaweza muunganisha na mbunge, hawashindwi hawa mashetani
 
Ndio masuali ambayo tunategemea DPP atajibu, maana imepita miaka mingi huku tukiambiwa hata mshukiwa hajakamatwa.
Na haiwezekani wamnyonge kwa mkanda kisha waondoke na mkanda wakae nao nyumbani! Wenyeji wamekataa kwa nguvu kabisa hawa jamaa kuhusika hivyo Mungu atatenda tu jambo juu yao. Tunamwaaminj Mungu
 
Kuna maswali mengine ni ya kijinga sana.
1. Hivi mtu hawezi kukatwa mapanga halafu akanyweshwa sumu?
A. Nini kitakuwa kimemuua sumu au mapanga?

B. Mtu akanyweshwa sumu na baadae kuchinjwa kabla sumu haijatenda kazi, akipimwa si ataoneka na sumu lkn pia kachinjwa?

Kwahiyo mtu aweza kuwa alipigwa na kubleed lkn akanywangwa hadi kufa.
 
Wewe ndio mjinga zaidi, kwa sababu maelezo hayo alitakiwa ayaeleze DPP, kama kaweza kuelezea mpaka alievaa nguo za CDM, kashindwa kusema kama marehemu alijeruhiwa kwanza?.

Utakuwa na matope wewe kichwani mwako.
 
Back
Top Bottom