Swali kwa DPP, ikiwa Marehemu alinyongwa na dokta kuthibitisha alikufa kwa kukosa hewa, Je damu iliyoonekana kwenye fulana ilitoka wapi?

Swali kwa DPP, ikiwa Marehemu alinyongwa na dokta kuthibitisha alikufa kwa kukosa hewa, Je damu iliyoonekana kwenye fulana ilitoka wapi?

Vipi kama hiyo damu ilitokana na mtuhumiwa kuchinja kitoweo kama vile kuku ,ndiyo ikamrukia? kukutwa na tshirt yenye damu siyo ushahidi tosha wa kukufunga.waende mbali wapime na DNA.Usikute waliwaweka hiyo damu ili wapungeuze usumbufu wa kutafuta mharifu kwa sababu amri jeshi mkuu ameshasema anataka mtuhumiwa akamatwe
Nakubaliana na wewe mkuu.
 
Hili ni swali ambalo kila mwenye akili timamu anapaswa kujiuliza.

DPP kathibitisha kulingana na ushahidi aliopelekewa kutoka police, kuwa marehemu alikufa kwa kunyongwa kule Iringa, ambae alikuwa kada wa CCM na mgombea udiwani 2020. Suali nikwamba.

"Kama marehemu alinyongwa, na akafariki kwa kukosa hewa, Je fulana ya CDM iliyopatikana ikiwa na damu ambayo inasemakena alivaa muuwaji na imepatikana nyumbani kwa muuwaji, hiyo damu imetoka wapi?." Au Marehem alijeruhiwa kwanza ndio akanyongwa?.

Nakama alijeruhiwa kwa nini ameeleza maelezo mengi lkn hujatuhabarisha kama alijeruhiwa kabla hajanyongwa?. Nanusu harufu ovu.

Pia soma > Mkurugenzi wa Mashitaka aidhinisha Mashitaka ya Mauaji ya kukusudia kwa Viongozi wa Chadema dhidi ya kada wa CCM

NOTE:
Siungi mkono mauwaji au muuwaji wa aina yeyote yule, napia ningependa wauwaji wa MAWAZO waliomkata mapanga kule GEITA wangekamatwa haraka, pia waliomtisha ben Saanane na akaweka number hadharani wangekamatwa na kuhojiwa tujue uhusika wao, pia sipendi kwa namna yeyote ile watu wabambikiwe kesi.
Ndiyo maana mahakama hailazimiki kuweka maanani ushahidi wa daktari
 
Back
Top Bottom