Swali kwa DPP, ikiwa Marehemu alinyongwa na dokta kuthibitisha alikufa kwa kukosa hewa, Je damu iliyoonekana kwenye fulana ilitoka wapi?

Wewe ndio mjinga zaidi, kwa sababu maelezo hayo alitakiwa ayaeleze DPP, kama kaweza kuelezea mpaka alievaa nguo za CDM, kashindwa kusema kama marehemu alijeruhiwa kwanza?.

Utakuwa na matope wewe kichwani mwako.
Tatizo mavi yamechukua sehemu ya ubongo wako wa mbele, medula tu iko sawa kukuweka balance usianguke. Soma ile barua
 
Tatizo mavi yamechukua sehemu ya ubongo wako wa mbele, medula tu iko sawa kukuweka balance usianguke. Soma ile barua
Wewe ndio hujui kusoma akaelewa, nandio Moderator wameboresha huu uzi, ili wapumbavu kama wewe muelewe, unaona hio barua inatofauti na maelekezo aliyotoa Polepole?. Karibu kutikisa kichwa huenda kuanzia hio medula, mpaka spinal cord imejaa kinyesi.
 
Wewe ndio hujui kusoma akaelewa, nandio Moderator wameboresha huu uzi, ili wapumbavu kama wewe muelewe, unaona hio barua inatofauti na maelekezo aliyotoa Polepole?. Karibu kutikisa kichwa huenda kuanzia hio medula, mpaka spinal cord imejaa kinyesi.
Comment yako ijayobitanijulisha kama nina chat na Robot.
Maana hata TITAN naye hutenda vitu kiaina
 
Kuna kitu nimejiridhisha
Hahahahaaa ha ha
Nasikia huko kwenu mnakula buku 5
Tunawazidi 2
Mkuu upinzani hakuna ela, nikujitoa nakupigania maendeleo, tungekuwa tunataka hizo fedha tungekuja kujiandikisha pale karibu na FIRE, kama unaelekea DIT unakata barabara yakulia ili tule hizo buku 7. Huku upinzani niukweli mtupu, wapenda maendeleo wote tuko huku, huko mnafikiria matumbo yenu tu.
 
Kwahiyo waliokamatwa wamebambikiwa kesi?
Kwa serikali hii, hakuna linaloshindikana, kama Abdul Nondo aliambiwa kajiteka, namwisho wasiku akafunguliwa kesi hukohuko IRINGA, na akashinda hio kesi,hilo lakubambikiwa linashindikanaje?.
 

Tunayo nafasi ya kuanzisha Tanzania mpya Oct 28.

Tanzania ambayo haki za watu zitaheshimiwa na kubambikiziana makesi hakutakuwapo.

Watanzania wote wakiwamo lb7 tuungane kupigania Tanzania hii ambayo ni bora kabisa kuwaachia watoto na hata watoto wa watoto wetu.

Watuhumiwa wale walikuwa wakichechemea kwa maumivu makali - si ajabu kipigo japo "not guilty until proven!"
 

Vipi kama hiyo damu ilitokana na mtuhumiwa kuchinja kitoweo kama vile kuku ,ndiyo ikamrukia? kukutwa na tshirt yenye damu siyo ushahidi tosha wa kukufunga.waende mbali wapime na DNA.Usikute waliwaweka hiyo damu ili wapungeuze usumbufu wa kutafuta mharifu kwa sababu amri jeshi mkuu ameshasema anataka mtuhumiwa akamatwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…