Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,206
- 18,549
Habari zenu dada zangu wapendwa.
WIFINISM
Kuwa na wifi ni kitu amabacho kila dada mwenye kaka hukisubilia . Na kwa uzoefu ugomvi kati ya dada na wifi huweza kuleta matatizo ambayo hata kaka some times humwingia akilini.
Kwa bahati mbaya katika kuchagua mwenza si lazima dada ahusike kwani ni mwenye mke ndiye mwenye mamlaka ya kuchangua yupi anafaa au na yupi hafai.
Lakini mara nyingi kama una dada, anaweza kutambua tabia za wifi yake mtarajiwa mapema kuliko hata mwoaji mwenye. Na kama ni mtu wa kutambua utavigundua vijembe vinavyo pigwa indirect just kukufikishia ujumbe hasa pale ambapo chagua halikubaliwi.
Na sometimes ninyi dada zetu hutupendekezea indirect, kama una dada jasiri atakwambia direct, japo ni mara chache kaka anaweza kuona hilo pendekezo, na hata akiona ni mara chache akakubali kwa kuogopa tuu asije pigwa changa la macho la urafiki wa dada mtu na huyo mpengekezwa.
Maswali yangu ni haya.
1. Je kaka akioa rafiki kipenzi huwa ni kero kwanu au huwa ni kitu mnacho kitamani siku zote??
2. Je ni kweli some times huwa mnafikilia au kuwaza nani angeolewa na kaka zenu??. Kama ni kweli je njia zipi mnazitumia kufikisha pendekezo ???
3. Je ni kigezo kipi huwa mnazingatia kumponda wifi mtarajiwa??
Asanteni dada zangu, natamani sana kuona mawazo yenu mazuri.
NB: MKE WA NDUGU NI NDUGU, AKIWA NI KERO FAMILIA YOTE HUKEREKA, LAKINI HAKUNA MWENYE MAMLAKA JUU YAKE ZAIDI YA YULE MWENYE MKE.