Swali kwa kina dada tuu...

Swali kwa kina dada tuu...

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,206
Reaction score
18,549
Habari zenu dada zangu wapendwa.

2241272878_6eb4b9930e.jpg

WIFINISM

Kuwa na wifi ni kitu amabacho kila dada mwenye kaka hukisubilia . Na kwa uzoefu ugomvi kati ya dada na wifi huweza kuleta matatizo ambayo hata kaka some times humwingia akilini.

Kwa bahati mbaya katika kuchagua mwenza si lazima dada ahusike kwani ni mwenye mke ndiye mwenye mamlaka ya kuchangua yupi anafaa au na yupi hafai.

Lakini mara nyingi kama una dada, anaweza kutambua tabia za wifi yake mtarajiwa mapema kuliko hata mwoaji mwenye. Na kama ni mtu wa kutambua utavigundua vijembe vinavyo pigwa indirect just kukufikishia ujumbe hasa pale ambapo chagua halikubaliwi.

Na sometimes ninyi dada zetu hutupendekezea indirect, kama una dada jasiri atakwambia direct, japo ni mara chache kaka anaweza kuona hilo pendekezo, na hata akiona ni mara chache akakubali kwa kuogopa tuu asije pigwa changa la macho la urafiki wa dada mtu na huyo mpengekezwa.

Maswali yangu ni haya.

1. Je kaka akioa rafiki kipenzi huwa ni kero kwanu au huwa ni kitu mnacho kitamani siku zote??

2. Je ni kweli some times huwa mnafikilia au kuwaza nani angeolewa na kaka zenu??. Kama ni kweli je njia zipi mnazitumia kufikisha pendekezo ???

3. Je ni kigezo kipi huwa mnazingatia kumponda wifi mtarajiwa??

Asanteni dada zangu, natamani sana kuona mawazo yenu mazuri.

NB: MKE WA NDUGU NI NDUGU, AKIWA NI KERO FAMILIA YOTE HUKEREKA, LAKINI HAKUNA MWENYE MAMLAKA JUU YAKE ZAIDI YA YULE MWENYE MKE.
 
Nnae ila sidhani kama mchumba au mke wa kakangu ni biashara yangu,ikiwa mbovu hasara kwake sasa sioni umuhimu wa kumfikiria amuoe nani au kumponda anayetaka kumwoa.
 
jibu lako lishanipa picha kuwa upo educated na huna time na mtu i mean ya not dependant. Unaonekana kama utakuwa mama mzuri...twende chemba kidogo nikun'gate sikio...mmm?
 
usilitoe tu!!!
 
na ulimi halafu sio sikio moja ni yote mawili...🙂 bila kusahau shavu

Haya ngoja niombe rukhsa nikipewa utaniona ili uningate vizuri,ukiona kimyaa ujuwe kishanuka
 
nnae ila sidhani kama mchumba au mke wa kakangu ni biashara yangu,ikiwa mbovu hasara kwake sasa sioni umuhimu wa kumfikiria amuoe nani au kumponda anayetaka kumwoa.

lakini ikiwa mbovu, inamaana huta kutakereka hata siku moja. Mke wa kaka ni ndugu yako. Hata mkera kaka pekee yake .
 
Kwa mmiliki wa mgodi huu hahahaaah,naona kalala...
 
lakini ikiwa mbovu, inamaana huta kutakereka hata siku moja. Mke wa kaka ni ndugu yako. Hata mkera kaka pekee yake .

Hata kakaaako kuna siku anakukera,mke wa kakangu ni sawa na dada au mdogo wangu,sitakiwi kuingilia maisha yao kanikera tunakaa tunazungumza kama ikishindikana kuna namna za kuishi nae kama ambavyo ukiwa na ndugu mkorofi unavyoishi ne,tujifunze kuangalia maisha yetu zaidi ya wanaotuzunguka.
 
hata kakaaako kuna siku anakukera,mke wa kakangu ni sawa na dada au mdogo wangu,sitakiwi kuingilia maisha yao kanikera tunakaa tunazungumza kama ikishindikana kuna namna za kuishi nae kama ambavyo ukiwa na ndugu mkorofi unavyoishi ne,tujifunze kuangalia maisha yetu zaidi ya wanaotuzunguka.

i get the logic, thanks a million.
 
Hao watafanya wale mawifi wasokuwa na kazi za kufanya wewe uanze kuingilia mambo ya kaka yako ya nini?? Unataka uolewe wewe??? Mambo ya kaka ni yake na mkewe we jikalie mbali
 
Habari zenu dada zangu wapendwa.

2241272878_6eb4b9930e.jpg

WIFINISM

Kuwa na wifi ni kitu amabacho kila dada mwenye kaka hukisubilia . Na kwa uzoefu ugomvi kati ya dada na wifi huweza kuleta matatizo ambayo hata kaka some times humwingia akilini.

Kwa bahati mbaya katika kuchagua mwenza si lazima dada ahusike kwani ni mwenye mke ndiye mwenye mamlaka ya kuchangua yupi anafaa au na yupi hafai.

Lakini mara nyingi kama una dada, anaweza kutambua tabia za wifi yake mtarajiwa mapema kuliko hata mwoaji mwenye. Na kama ni mtu wa kutambua utavigundua vijembe vinavyo pigwa indirect just kukufikishia ujumbe hasa pale ambapo chagua halikubaliwi.

Na sometimes ninyi dada zetu hutupendekezea indirect, kama una dada jasiri atakwambia direct, japo ni mara chache kaka anaweza kuona hilo pendekezo, na hata akiona ni mara chache akakubali kwa kuogopa tuu asije pigwa changa la macho la urafiki wa dada mtu na huyo mpengekezwa.

Maswali yangu ni haya.

1. Je kaka akioa rafiki kipenzi huwa ni kero kwanu au huwa ni kitu mnacho kitamani siku zote??

2. Je ni kweli some times huwa mnafikilia au kuwaza nani angeolewa na kaka zenu??. Kama ni kweli je njia zipi mnazitumia kufikisha pendekezo ???

3. Je ni kigezo kipi huwa mnazingatia kumponda wifi mtarajiwa??

Asanteni dada zangu, natamani sana kuona mawazo yenu mazuri.

NB: MKE WA NDUGU NI NDUGU, AKIWA NI KERO FAMILIA YOTE HUKEREKA, LAKINI HAKUNA MWENYE MAMLAKA JUU YAKE ZAIDI YA YULE MWENYE MKE.

kwa maisha ya sasa swaga za wifi kafanyaje sjui wifi mchapakaz sjui ninin hayana nafasi
we waish mbali na familia wif atakujaje?
we wais ar wazaz wapo dar wif klaolewa mbeya aya mambo yatakujaje?
au ata sivo ivo issue zmebadirika sana mambo ya kufatilina yamepungua sana

km we ndo wifi achana na mabo za kufatilia kaka yuko nanan wanaish vip
km we ndo unaenda kuolewa basi mwombe mme wako muhame apo hm km waish nyumba moja na wazaz wake na ndg wengne muende mbali mkapange kuepusha uchunguz na ugwadu km u
 
Back
Top Bottom