Swali kwa Kitila Mkumbo; Kama Sauti ya Askofu (anayetaka Samia kuitwa Mama wa Taifa ni ya Watanzania) vipi Ile ya TEC iwe sio ya Watanzania?

Askofu at work!
 
Kama na Kabudi kweli ni wa Singida , basi profesa mmoja wa Tabora sawasawa na maprofessor 200 wa Singida
 
Mama Nyerere Ndiye MAMA WA TAIFA baba wa taifa JK Nyerere alifariki. Kwa Zanzibar ni Karume. Tusichanganye mada na kuleta uchonganishi kitaifa.
 
Je aliyeitwa mama wa taifa kakubali au kalikataa hilo jina tuanziae hapo? Kumbukumbu zangu zinanirudisha nyuma kidogo ambapo Hayati Benjamini Mkapa alikataa hadharani kwenye vyombo vya habari mchana kweupe jua linawaka akagoma kuitwa mtukufu rais Benjamini Mkapa kwa kuwa mwenye kustahili kuitwa mtukufu ni mwenyezi Mungu tu na si kiumbe yoyote yule.

Kwa hiyo haya malumbano yote kwenye mitandao na mitaani hayana sababu yakawepo iwapo tu aliyeitwa hilo jina atakata mzizi wa fitina kwa kulikubali hilo jina hadharani iwapo anaona viatu vya kuwa mama wa taifa vinamtosha au atalikataa hilo jina iwapo dhamiri yake itaona kweli hivyo viatu havimtoshi.

Maswali fikirishi:-
1. Je na mama Maria Nyerere mke wa baba wa taifa ambaye bado yupo hai na yeye tumuite nani?
2. Na je mume wa huyo anayetakiwa tuanze kumuita mama wa taifa na yeye yupo hai je ataitwa baba wa taifa au yeye ataspotezewa?

Ni mtizamo tu.
 
Mama zao Wanateseka huko kijijiini, wao wako Kwa media kuongea ujinga kutwa kucha
 
Akijibu nistue
 
Kwanza akubali kuwa yeye ni mke wa hayati Nyerere maana Nyerere ni baba wa taifa.

Eti kaka wa taifa Tundu unalionaje hili?
 
Tumekua wepesi wa kusahau kiasi hiki au ni makusudi??[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya kudunisha siku ya Nyerere day kwa kuichanganya na hafla nyingine ikiwemo kuzima mwenge, leo wamekuja tena kumpoka mama Maria Nyerere nafasi yake ya kuwa mama wa taifa, nchi ina viongozi wa hovyo sana hii.
 
Watu kama huyu Propesa Kitila ukimuwaza utajikuta unajisemea hakuna faida ya kusoma kama mtu anasema yeye ni msomi yuko hivi!
 
Sikufahamu huyu ndugu anaweza kuwa MJINGA kiasi hiki? Nilimheshimu lakini sasa nimemdharau. Nafikiri ndio maana hawezi kushinda ubunge UBUNGO
Hivi sasa ni kama kaazimwa akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…