Swali kwa Kitila Mkumbo; Kama Sauti ya Askofu (anayetaka Samia kuitwa Mama wa Taifa ni ya Watanzania) vipi Ile ya TEC iwe sio ya Watanzania?

Hilo ni swali tu Wala Sina ugomvi Wala husda ya MTU yoyote kuitwa vyovyote vile aitwavyo.

2. Kwanini "Askofu" huyo hakukemewa Wala kulaaniwa Kwa "kuchanganya" Dini na siasa ila iwe hivyo Kwa TEC? Au siku

Kwani wanaemuita mama Samia "mama" ni wanasiasa peke yao?
 
3. Inawezekanaje Askofu mmoja awe NDIO Sauti ya Watanzania na Sio Baraza la Maaskofu? Hili nitamuuliza Binti yangu.....

Kwani huyo askofu hana haki ya kusema yeye mwenyewe mpaka akusemee na wewe?

Mimi hajanisemea, na aliposema hayo nikasema mimi ntamuiyta mama Samia tu, nimelipenda bure, Hilo la mama wa taifa halijanikalia sawa kulitamka, silitumii.

Tatizo nini?
 
Hilo ni swali tu Wala Sina ugomvi Wala husda ya MTU yoyote kuitwa vyovyote vile aitwavyo.

Inawezekanaje Askofu (sijui kama ni Askofu KWELI) kutaka Samia kuitwa Mama wa Taifa iwe ni Sauti ya Watanzania na.....
1. Isiwe ni Sauti ya Watanzania Kwa wale Maaskofu wa TEC kuhusu "kuuzwa" Kwa bandari zetu?
2. Kwanini "Askofu" huyo hakukemewa Wala kulaaniwa Kwa "kuchanganya" Dini na siasa ila iwe hivyo Kwa TEC? Au siku hizi kuna cheo Cha Uaskofu Huko CCM?
3. Inawezekanaje Askofu mmoja awe NDIO Sauti ya Watanzania na Sio Baraza la Maaskofu? Hili nitamuuliza Binti yangu.....

Inawezekanaje Mizani Ile ile Leo iwe sahihi ila Jana iwe sio sahihi???

Tumekua wepesi wa kusahau kiasi hiki au ni makusudi??View attachment 2784979
Taifa hili limekuwa la hovyo kiasi kwamba hadi mawe yanasikitika sana Kila kukicha. Tafsiri nyepesi manaake tuna Rais ambae anapokea kila utumbo unaosemwa na hio ni kejeli kwake
 
Huyu mazer kama ndiye amesema haiwezekani miaka 60 singida bado ni masikini, wakati miaka 60 under ccm Tanzania bado ni masikini, basi naye ni masikini wa akili.
Mwenyekiti wa CCM, kesho watasimama na kusema kuwa CCM imeleta maendeleo Kila mahali
 
Hilo ni swali tu Wala Sina ugomvi Wala husda ya MTU yoyote kuitwa vyovyote vile aitwavyo.

Inawezekanaje Askofu (sijui kama ni Askofu KWELI) kutaka Samia kuitwa Mama wa Taifa iwe ni Sauti ya Watanzania na.....
1. Isiwe ni Sauti ya Watanzania Kwa wale Maaskofu wa TEC kuhusu "kuuzwa" Kwa bandari zetu?
2. Kwanini "Askofu" huyo hakukemewa Wala kulaaniwa Kwa "kuchanganya" Dini na siasa ila iwe hivyo Kwa TEC? Au siku hizi kuna cheo Cha Uaskofu Huko CCM?
3. Inawezekanaje Askofu mmoja awe NDIO Sauti ya Watanzania na Sio Baraza la Maaskofu? Hili nitamuuliza Binti yangu.....

Inawezekanaje Mizani Ile ile Leo iwe sahihi ila Jana iwe sio sahihi???

Tumekua wepesi wa kusahau kiasi hiki au ni makusudi??View attachment 2784979
Singida wanakula yule mnyana anayebeba mizogo, hawana akili timamu
 
Attachments

  • D017311C-02B4-4ED9-AACF-4581823CA53F.jpeg
    D017311C-02B4-4ED9-AACF-4581823CA53F.jpeg
    99.2 KB · Views: 1
Hilo ni swali tu Wala Sina ugomvi Wala husda ya MTU yoyote kuitwa vyovyote vile aitwavyo.

Inawezekanaje Askofu (sijui kama ni Askofu KWELI) kutaka Samia kuitwa Mama wa Taifa iwe ni Sauti ya Watanzania na.....
1. Isiwe ni Sauti ya Watanzania Kwa wale Maaskofu wa TEC kuhusu "kuuzwa" Kwa bandari zetu?
2. Kwanini "Askofu" huyo hakukemewa Wala kulaaniwa Kwa "kuchanganya" Dini na siasa ila iwe hivyo Kwa TEC? Au siku hizi kuna cheo Cha Uaskofu Huko CCM?
3. Inawezekanaje Askofu mmoja awe NDIO Sauti ya Watanzania na Sio Baraza la Maaskofu? Hili nitamuuliza Binti yangu.....

Inawezekanaje Mizani Ile ile Leo iwe sahihi ila Jana iwe sio sahihi???

Tumekua wepesi wa kusahau kiasi hiki au ni makusudi??View attachment 2784979
Huyu ni chawa mchafu hatumii kichwa chake tena bali tumbo lake
 
Mawazo mengine ni ya kimbuzi na ufala mwingi Kwa hio Mama Maria Nyerere Aitwe Bibi wa Taifa au sio? Taifa linaongozwa na mwanamke ni taifa mfu na anytime taifa hilo liko hatarini kuanguka. A woman is always a woman since creation.
 
Taifa hili limekuwa la hovyo kiasi kwamba hadi mawe yanasikitika sana Kila kukicha. Tafsiri nyepesi manaake tuna Rais ambae anapokea kila utumbo unaosemwa na hio ni kejeli kwake
Keshokutwa ataitwa "Shosti" wa Taifa atakubali
 
Mawazo mengine ni ya kimbuzi na ufala mwingi Kwa hio Mama Maria Nyerere Aitwe Bibi wa Taifa au sio? Taifa linaongozwa na mwanamke ni taifa mfu na anytime taifa hilo liko hatarini kuanguka. A woman is always a woman since creation.
Kwamba utabiri wa Sheikh Yahaya unaenda kutimia machoni petu??
 
Hilo ni swali tu Wala Sina ugomvi Wala husda ya MTU yoyote kuitwa vyovyote vile aitwavyo.

Inawezekanaje Askofu (sijui kama ni Askofu KWELI) kutaka Samia kuitwa Mama wa Taifa iwe ni Sauti ya Watanzania na.....
1. Isiwe ni Sauti ya Watanzania Kwa wale Maaskofu wa TEC kuhusu "kuuzwa" Kwa bandari zetu?
2. Kwanini "Askofu" huyo hakukemewa Wala kulaaniwa Kwa "kuchanganya" Dini na siasa ila iwe hivyo Kwa TEC? Au siku hizi kuna cheo Cha Uaskofu Huko CCM?
3. Inawezekanaje Askofu mmoja awe NDIO Sauti ya Watanzania na Sio Baraza la Maaskofu? Hili nitamuuliza Binti yangu.....

Inawezekanaje Mizani Ile ile Leo iwe sahihi ila Jana iwe sio sahihi???

Tumekua wepesi wa kusahau kiasi hiki au ni makusudi??View attachment 2784979
ACHANA NA TAKATAKA HILI, USIPOTEZA MUDA WAKO KWA TAKATAKA KAMA HIZI
 
Back
Top Bottom