Swali kwa mkuu STUNTER





inaelekea unamkubali sana STUNTER mpaka umeshindwa kuvumilia. me nakushauri mpe dada yako bure ili uwe na ukaribu nae
 
Kwanza kabisa unakosea sana kusema mada zangu 100% zimeegemea kwenye mapenzi,
Wanaonijua wanatambua kwamba mimi niko vizuri kote kote na majukwaa mengi tu natupia thread,
isipokuwa labda huenda wewe unapenda kutembelea jukwaa la MMU ndomana ukinikuta kule unasema nime base kule,
 
Dunia sinia kila mtu anapakua anachoweza. Chagua unachoweza kisha kifanye unavyoweza.

Kuna mtu ni mchezaji wa tenesi tu na hachezi football. Utauliza kwanini anacheza tenesi tu?

Asalaam.
Well said mkemia, haujawahi kuniangusha
 
Nanoli jiandae kwa intavyuu
 
Umaarufu kazi kwelikweli!!!
Wamefanikiwa kumuangusha Nyani Ngabu, naona wanahamia kwa Stunter...
Stunter usipanic ukapewa ban buree
 
Ungenukuu baadhi ya bandiko zake ingekuwa bora zaidi...kuliko kileta hewa hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…