Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
[emoji6][emoji6]Nimeshakoma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji6][emoji6]Nimeshakoma
Mkuu STUNTER habari yako!
Mkuu unanipa wakati mgumu kukuelewa haswa pale napoona nyuzi zako.
Asilimia 100 ya nyuzi zako zinahusu papuchi, migegedo, na mademu.
Swali langu kwako mkuu, imekuaje mpaka imefikia hatua nyuzi zako zote zikawa zimejikita kwenye mienenendo hiyo?
Kwanza kabisa unakosea sana kusema mada zangu 100% zimeegemea kwenye mapenzi,Mkuu STUNTER habari yako!
Mkuu unanipa wakati mgumu kukuelewa haswa pale napoona nyuzi zako.
Asilimia 100 ya nyuzi zako zinahusu papuchi, migegedo, na mademu.
Swali langu kwako mkuu, imekuaje mpaka imefikia hatua nyuzi zako zote zikawa zimejikita kwenye mienenendo hiyo?
Well said mkemia, haujawahi kuniangushaDunia sinia kila mtu anapakua anachoweza. Chagua unachoweza kisha kifanye unavyoweza.
Kuna mtu ni mchezaji wa tenesi tu na hachezi football. Utauliza kwanini anacheza tenesi tu?
Asalaam.
Nisaidie Kuwashangaastunter ukuje huku watu eti hawakuelewi ila maushauri yako unayowapa huwa wanayafanyia kazi lakini
Nanoli jiandae kwa intavyuuHuyo jamaa ni kungwi, ngariba na SHILAWADU.... Hahahahaaaa.... Mwenyewe nishapataga shida kumuelewa huyu jamaa,... Na nakumbuka nilishawahi muulizaga mwenyewe,..... Ninachokiona kwa huyu jamaa kiukweli,... Huyu jamaa sio kwamba ni playboy, hapana! Ila huyu jamaa amesoma upepo wa watu wa humu ndani akajua members wengi wanapenda saaana habari za ngono na mahusiano,... Hakuna kitu kizuri kama unaandika post halafu ikawa na wachangiaji wengi, (Yaani kama Diamond tu) hasa habari inayowahusu wanawake... Na ni kweli STUNTER, hana habari zaidi ya hizo....
Pili huyu jamaa ni mediator..... Ni mtu anaependa kukosoa na kuelimisha kwenye masuala haya ya mapenzi, huku akiegemea sana kwa wanawake,... Anamkosoa mwanamke na kumsifia mwanamke,... Akiwa na lengo la kuwavutia wanawake walio na mahitaji ambayo kwake yanaonekana anayaweza kuyatekeleza, huyu ni FISI asiyetumia nguvu,.. Ni jini mahaba wa kisayansi.. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeshafika mkuuWapi Stunter ajitetee
Tupo pamoja sana mshkaji wangu,Me na muelewa sana huyu jamaa i wish ningekua na dadavua vitu ka yy.. [HASHTAG]#stunter[/HASHTAG]
[emoji23][emoji23][emoji23]stunter ukuje huku watu eti hawakuelewi ila maushauri yako unayowapa huwa wanayafanyia kazi lakini
Ungenukuu baadhi ya bandiko zake ingekuwa bora zaidi...kuliko kileta hewa hapaMkuu STUNTER habari yako!