Gagurito
JF-Expert Member
- Feb 11, 2011
- 5,600
- 806
Hawavai bwana!Tamaduni za kizungu kwani umeambiwa wazungu hawavai?!Usijidanganye.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawavai bwana!Tamaduni za kizungu kwani umeambiwa wazungu hawavai?!Usijidanganye.
Nnao uhakika kwamba wapo wanaovaa...acheni kusingizia kila kitu utamaduni wa mzungu.Kama mtu hataki hataki kwasababu hataki au hahitaji.Hawavai bwana!
ehee! Mkabe ajieleze vizuri!Ulikua unawavua sketi wote au ilikuaje?!
Mmmh! Hii rsch yako haijitoshelezi kwani csstdy yako umefanyia mkoa wenye hali ya hewa icyoruhusu hayo magagulo na wa2 wanavaa nguo czo ruhusu joto ambazo znajitosheleza bila magagulo,nakushauru pick randomly mikoa thn try again.Heshima mbele wana jf!ktk uchunguzi wangu wa haraka haraka nlioufanya cku za hvi karibuni nimegundua kwamba kati ya wadada 10 bas 9 hawavai magaguro{underskirts},tatizo ni nin wakuu au cku hzi hayo mavazi hayapatkan madukan?
I'm "curious"!!Heshima mbele wana jf!ktk uchunguzi wangu wa haraka haraka nlioufanya cku za hvi karibuni nimegundua kwamba kati ya wadada 10 bas 9 hawavai magaguro{underskirts},tatizo ni nin wakuu au cku hzi hayo mavazi hayapatkan madukan?
hahahaha! Wanaume wa siku hz wanavaa skin jeans.afu mbona na wakaka wa siku hizi hamvai suruali bwaga? manake mnavaa visuruali undersize,ama mnashindana na wadada?
hahahaha! Wanaume wa siku hz wanavaa skin jeans.