Swali:kwa nini wadada wa siku hizi hawavaagi magaguro

Swali:kwa nini wadada wa siku hizi hawavaagi magaguro

haya acheni kufuata maadili ya mwanamke aliyekamilika anatakiwa avaeje, sasa mnasingizia utandawazi, nani kakueleza zamani kulikuwa hakuna vimini,tight za climplin, nyanya puza, dont touch my shoes, bugalooo na mavazi mengine mengi tuu. mimi nimeona picha za wazazi wangu hayo ndo yalikuwa mavazi yao zamani sahivi hakuna fasheni,vitu vyote vinajirudia hakuna new fasheni,kilichobaki ambacho kilikuwepo zamani ni mtu kutembea ameziba mbele tu,achana na huko beach ambapo huwa watu wameziba mbele tu hasa hawa dada zetu. apa nazungumzia kutembea popote huru kabisa umeziba mbele pekee.
 
Nguo tunanunua zina lining na mara nyingi tunavaa suruari sasainakuwaje hapo?
 
Gagulo na Suruali au na Mini au na short lol! acha wasivae bwana; hata mimi naunga mkono wasivae maana hao wazamani ilikuwa gagulo na gauni.

Huku nilipo hata chupi wanawake walishaondowa kwenye budget zao, ukimperekea zawadi ya chupi inakuwa kama umperekea zawadi mtoto wa kiarabu chupa ya Gordons Dry Gin; tope utapewa lakini pombe hapana kwa mtoto wa kiarabu.
 
Technolojia imekua, siku hizi underskirt ziko intergrated na skirt au magauni.
 
Heshima mbele wana jf!ktk uchunguzi wangu wa haraka haraka nlioufanya cku za hvi karibuni nimegundua kwamba kati ya wadada 10 bas 9 hawavai magaguro{underskirts},tatizo ni nin wakuu au cku hzi hayo mavazi hayapatkan madukan?
Mmmh! Hii rsch yako haijitoshelezi kwani csstdy yako umefanyia mkoa wenye hali ya hewa icyoruhusu hayo magagulo na wa2 wanavaa nguo czo ruhusu joto ambazo znajitosheleza bila magagulo,nakushauru pick randomly mikoa thn try again.
 
Heshima mbele wana jf!ktk uchunguzi wangu wa haraka haraka nlioufanya cku za hvi karibuni nimegundua kwamba kati ya wadada 10 bas 9 hawavai magaguro{underskirts},tatizo ni nin wakuu au cku hzi hayo mavazi hayapatkan madukan?
I'm "curious"!!
 
hatuvai mana nguo za siku hzi zinazo kwa ndani so utakuwa umedouble
 
Kwa wanao vaa magaguro siku hizi ni wadada wa above 50's below that ndio hao wanaenda na wakati wengi uvaa tight !
 
Kwa wanao vaa magaguro siku hizi ni wadada wa above 50's below that ndio hao wanaenda na wakati wengi uvaa tight !
sasa hao ni wadada au wabibi mkuu?
 
Back
Top Bottom