Jurrasic Park
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 3,801
- 6,806
Ni fashion l
Ndiyo lkn lakwangu la huku mwishohahah wewe utakuwa nalo si bure
Bro umekosa la kufanya mpaka uje utuseme huku JF?Habari za siku
Katika tembea tembea yangu huku mtaani na vile vile kwa watangazaji wa tv wana mapendo. Mapengo haya yanakuwaga kwenye dental formula hasa hasa upanda wa pre-molar.
Ukimuangalia mfano Suzy bern na dullah wa EATV wakicheka wanayo hayo mapengo.
Hivi nauliza ni fashion au kuna kingine cha zaidi
Ndiyo lkn lakwangu la huku mwisho
Bro umekosa la kufanya mpaka uje utuseme huku JF?
View attachment 545756
Halijaota, mm sijawahi ng'oa meno ya huku mwisho hata hili lilisagika nikiwa nakula mahindiJamani halikuota au embu nielezee basi.
Mimi mgeni huyo mola wala simjui.Hivi unajua meno ya pre-molar yanapokaa tuanzie hapo kwanza.
Mimi mgeni huyo mola wala simjui.
Halijaota, mm sijawahi ng'oa meno ya huku mwisho hata hili lilisagika nikiwa nakula mahindi
hehehehe... Hyo naona itakua fashion coz huku kwetu wadada ndo zao
hehehehe... Hyo naona itakua fashion coz huku kwetu wadada ndo zao