Jurrasic Park
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 3,801
- 6,806
Habari za siku
Katika tembea tembea yangu huku mtaani na vile vile kwa watangazaji wa tv wana mapendo. Mapengo haya yanakuwaga kwenye dental formula hasa hasa upanda wa pre-molar.
Ukimuangalia mfano Suzy bern na dullah wa EATV wakicheka wanayo hayo mapengo.
Hivi nauliza ni fashion au kuna kingine cha zaidi