Swali: Kwa nini watu wengi siku hizi wana mapengo?

Jurrasic Park

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2013
Posts
3,801
Reaction score
6,806
Habari za siku

Katika tembea tembea yangu huku mtaani na vile vile kwa watangazaji wa tv wana mapendo. Mapengo haya yanakuwaga kwenye dental formula hasa hasa upanda wa pre-molar.

Ukimuangalia mfano Suzy bern na dullah wa EATV wakicheka wanayo hayo mapengo.

Hivi nauliza ni fashion au kuna kingine cha zaidi
 
Bro umekosa la kufanya mpaka uje utuseme huku JF?
upload_2017-7-19_14-51-14.jpeg
 
Back
Top Bottom