Swali kwa single Mothers: Siku ya harusi ya mtoto wako nani utakaa naye High Table? Baba mtoto au mume wako?

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Mkiyapata majibu ya swali hili mtajua umuhimu wa kulinda ndoa zenu.

Maandiko yanasema mwanamke mjinga huvunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe.

Umeolewa unakuta sms moja tu kwenye simu ya mumeo unaondoka na watoto.unaenda kuolewana lizee au unageuka nyumbandogo ya mume wa mtu.

Hao watoto uliokimbia nao siku ya harusi high table inamlazimu baba mzazi kuchukua nafasi yake na huyo baba wa mchongo yuko mafichoni akifatilia kama wageni waalikwa wengine

Linda ndoa yako
 
Kwa sisi waislamu siku ya harusi kuna upande wa wanawake wanakaa kivyao na wanaume kivyao. Hakuna cha high table wala nini.
Binti anaozeshwa watu wanakula wanaimba kwisha habari.

Uislamu maisha ni simple sana.
 
Ila kuna waislam siku hizi wakitoka msikitini bwana harusi anavaa suti wanaenda ukumbini na keki inakatwa,huwrzi kujua kama ni harusi ya kiislam mpaka usikilize naudhui ya nyimbo zinazopigwa,harusi ya mtoto wa Husein Mwinyi ni mfano
 
Kwa sisi waislamu siku ya harusi kuna upande wa wanawake wanakaa kivyao na wanaume kivyao. Hakuna cha high table wala nini.
Binti anaozeshwa watu wanakula wanaimba kwisha habari.

Uislamu maisha ni simple sana.
Mkuu kuna tofauti kati ya ndoa na harusi
 
Mkiyapata majibu ya swali hili mtajua umuhimu wa kulinda ndoa zenu.

Maandiko yanasema mwanamke mjinga huvunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe.

Umeolewa unakuta sms moja tu kwenye simu ya mumeo unaondoka na watoto.unaenda kuolewana lizee au unageuka nyumbandogo ya mume wa mtu.

Hao watoto uliokimbia nao siku ya harusi high table inamlazimu baba mzazi kuchukua nafasi yake na huyo baba wa mchongo yuko mafichoni akifatilia kama wageni waalikwa wengine

Linda ndoa yako
Sheria ipi inamtaka baba wa mtoto akae hightable?

Thubutuuu, huyo baba mtoto hawezi kusogea, kwanza watoto walishalishwa sumu kwamba aliwatelekeza.
 
Back
Top Bottom