Kwani kuna single maza bikra?Kama sio bikra usioe
Ila kuna waislam siku hizi wakitoka msikitini bwana harusi anavaa suti wanaenda ukumbini na keki inakatwa,huwrzi kujua kama ni harusi ya kiislam mpaka usikilize naudhui ya nyimbo zinazopigwa,harusi ya mtoto wa Husein Mwinyi ni mfanoKwa sisi waislamu siku ya harusi kuna upande wa wanawake wanakaa kivyao na wanaume kivyao. Hakuna cha high table wala nini.
Binti anaozeshwa watu wanakula wanaimba kwisha habari.
Uislamu maisha ni simple sana.
Mkuu kuna tofauti kati ya ndoa na harusiKwa sisi waislamu siku ya harusi kuna upande wa wanawake wanakaa kivyao na wanaume kivyao. Hakuna cha high table wala nini.
Binti anaozeshwa watu wanakula wanaimba kwisha habari.
Uislamu maisha ni simple sana.
Sheria ipi inamtaka baba wa mtoto akae hightable?Mkiyapata majibu ya swali hili mtajua umuhimu wa kulinda ndoa zenu.
Maandiko yanasema mwanamke mjinga huvunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe.
Umeolewa unakuta sms moja tu kwenye simu ya mumeo unaondoka na watoto.unaenda kuolewana lizee au unageuka nyumbandogo ya mume wa mtu.
Hao watoto uliokimbia nao siku ya harusi high table inamlazimu baba mzazi kuchukua nafasi yake na huyo baba wa mchongo yuko mafichoni akifatilia kama wageni waalikwa wengine
Linda ndoa yako
Dj akaongeza sauti muziki, vikafuata vitendo vya mjanja kuwahi.Ikawaje,?