Swali kwa wadada, Hivi wanaume warefu,weusi wana nini tofauti na wanaume wengine?


Kwani akina dada wenye 8 figure wana nini tofauti na wadada wengine
 
Hahahaaaaa wafupi ni husband materials kama ulikua hujui lols! Lakini kwenye showing off kitu jaluo aliyepanda hewani!

Kwa hiyo warefu ni kwa ajili ya show off na presentability tu,kwende ndoa unatafta shotii?
 

Kuna asilimia za ukweli hapa.
 
Kwani akina dada wenye 8 figure wana nini tofauti na wadada wengine

Mi sijui aisee,alafu mimi hao namba 8 sio testi yangu,ndio maana nimeuliza wadada waniambie juu ya wanaume warefu,weusi.
 
Shotii ni last option nikifika 33 kama nimekosa kabisaaaaaaaaaa tall!

We mwanamke wewe,kwa hiyo shotii wangoje reject,aisee!watu wa haki za binadam wakikusikia hawakuachii,huu ni unyanyasaji na unyanyapaaji wa kimo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…