Swali kwa wadada, Hivi wanaume warefu,weusi wana nini tofauti na wanaume wengine?

Swali kwa wadada, Hivi wanaume warefu,weusi wana nini tofauti na wanaume wengine?

Wana jukwaa jumapili njema

Swali langu kwa wadada na wataalam wengine wa mambo ya mahusiano,wanaume warefu,weusi wana nini cha ziada tofauti na wanaume wengine?

Nimepata kuwauliza wadada wengi,ambao nimekutana nao maeneo tofauti wangependa waolewe au wawe na mahusiano na wanaume wa aina gani,wengi na karibu sehem kubwa hujibu kua wanapenda wanaume warefu ,weusi.

Mi naomba kujua wanaume warefu,weusi wana nini cha ziada hadi wapendelewe hivyo?

Karibuni sana.

Kwani akina dada wenye 8 figure wana nini tofauti na wadada wengine
 
Hahahaaaaa wafupi ni husband materials kama ulikua hujui lols! Lakini kwenye showing off kitu jaluo aliyepanda hewani!

Kwa hiyo warefu ni kwa ajili ya show off na presentability tu,kwende ndoa unatafta shotii?
 
Kama unataka jibu la kisayansi na kisaikolojia.....wanawake huwa wanapenda kufeel small na protected mbele ya men; the taller and bigger the man, the smaller the female, afu pia darker colour is psychologically associated with increased strength na security. Sijui umeona asa hapo....

Courtesy of some internet article....

Kuna asilimia za ukweli hapa.
 
Shotii ni last option nikifika 33 kama nimekosa kabisaaaaaaaaaa tall!

We mwanamke wewe,kwa hiyo shotii wangoje reject,aisee!watu wa haki za binadam wakikusikia hawakuachii,huu ni unyanyasaji na unyanyapaaji wa kimo.
 
Back
Top Bottom