The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
- Thread starter
-
- #81
Utamu wa Mtu ni mtafunaji tu anaujua,
Hivo si kweli maana kila mtu ana ladha yake peke yake!
Haijalishi tall or short.
They are sexually attractive...ila sio awe mrefu tu,basi kajazia flani hivi...
Wana jukwaa jumapili njema
Swali langu kwa wadada na wataalam wengine wa mambo ya mahusiano,wanaume warefu,weusi wana nini cha ziada tofauti na wanaume wengine?
Nimepata kuwauliza wadada wengi,ambao nimekutana nao maeneo tofauti wangependa waolewe au wawe na mahusiano na wanaume wa aina gani,wengi na karibu sehem kubwa hujibu kua wanapenda wanaume warefu ,weusi.
Mi naomba kujua wanaume warefu,weusi wana nini cha ziada hadi wapendelewe hivyo?
Karibuni sana.
black americans,
they have something so sweet for ladies!
mkuu pole kwa kuwa mfupi.Wewe?acha kusema hivyo bwana,wafupi mbona unawakandamiza hivyo?
Mimi ni mrefu mweupe hb, ni pm upate raha.
mkuu pole kwa kuwa mfupi.
kumbe.. i thought i knew everything....
thaanks kwa girls wote mlioochangia
then what are you waiting for?Look who is tall.... hmmm. Interesting.
Disqualified! subiri sredi yenu.