The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
- Thread starter
- #81
Utamu wa Mtu ni mtafunaji tu anaujua,
Hivo si kweli maana kila mtu ana ladha yake peke yake!
Haijalishi tall or short.
Ni kweli mkuu ila kwa nini hawa jamaa warefu wanapendelewa hivyo?