Swali Kwa Waislamu: Sababu gani ya msingi kuwataka wanandoa waanze na line (namba) mpya za simu baada ya kufunga ndoa

Swali Kwa Waislamu: Sababu gani ya msingi kuwataka wanandoa waanze na line (namba) mpya za simu baada ya kufunga ndoa

Wasalaam JF

Rejea muktadha wa jicho la habari ulivyosomeka, naomba michango ya majibu yenu, wanandoa sio misukule wana kumbukumbu, wana akili za aina mbalimbali ikiwemo unafiki.

Je, kama ni kweli wanandoa hasa mwanamke kwa msisitizo kwa nini sharti abadili namba yake ya simu? baada ya kufunga ndoa kunani?

Hoja ya msingi ni nini, na mwafanya hivyo ili kumfurahisha nani, mwaogopa tindo tindo za kwazima?

Hio ni nini kina yahe?

Majibu tafadhari

Wabillahi Tawfiq

Asalaam Aleykhum
Uzinzi umetamakaki.
 
acha kuhusisha watu wazinzi na taratibu za uislamu.
 
Swali ambalo si la kielimu na wala halihusiani na Uislamu

Kwahivyo MTU yeyoye anaweza kujibu TU
 
Hii umeitoa mchangani siyo kwa Waislamu ambako mimi ni mmoja wapo Sisi hatuna itikadi hiyo
 
Wasalaam JF

Rejea muktadha wa jicho la habari ulivyosomeka, naomba michango ya majibu yenu, wanandoa sio misukule wana kumbukumbu, wana akili za aina mbalimbali ikiwemo unafiki.

Je, kama ni kweli wanandoa hasa mwanamke kwa msisitizo kwa nini sharti abadili namba yake ya simu? baada ya kufunga ndoa kunani?

Hoja ya msingi ni nini, na mwafanya hivyo ili kumfurahisha nani, mwaogopa tindo tindo za kwazima?

Hio ni nini kina yahe?

Majibu tafadhari

Wabillahi Tawfiq

Asalaam Aleykhum
hakuna shart la kisheria ktk kufunga ndoa kwenye UISLAMU linalosema hivyo. UISLAMU NI DINI NYEPEESI KTK KILA JAMBO. KWANI KILA JAMBO LINA MAELEKEZO YAKE HIVYO UKIKUTA UKAKASI KAMA HUO, TAMBUA NI UZUSHI.
 
mimi nimeoa wanawake 4 juzi tu sijawaambia kitu hicho wewe umeitia kwenye msitari gani wa biblia
 
Back
Top Bottom