Swali Kwa Waislamu: Sababu gani ya msingi kuwataka wanandoa waanze na line (namba) mpya za simu baada ya kufunga ndoa

Uzinzi umetamakaki.
 
acha kuhusisha watu wazinzi na taratibu za uislamu.
 
Swali ambalo si la kielimu na wala halihusiani na Uislamu

Kwahivyo MTU yeyoye anaweza kujibu TU
 
Hii umeitoa mchangani siyo kwa Waislamu ambako mimi ni mmoja wapo Sisi hatuna itikadi hiyo
 
hakuna shart la kisheria ktk kufunga ndoa kwenye UISLAMU linalosema hivyo. UISLAMU NI DINI NYEPEESI KTK KILA JAMBO. KWANI KILA JAMBO LINA MAELEKEZO YAKE HIVYO UKIKUTA UKAKASI KAMA HUO, TAMBUA NI UZUSHI.
 
mimi nimeoa wanawake 4 juzi tu sijawaambia kitu hicho wewe umeitia kwenye msitari gani wa biblia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…