Swali kwa waliooa tu

Swali kwa waliooa tu

Mimi sijaoa lakini nina experience ya ndoa....don't ask me further questions:eyebrows:
 
Usijali mjukuu.

Sasa mbona majibu ya Babu DC hukuyaona au kuna majibu fulani uliyategemea??

tatizo babu umeulizwa swali zito umetoa jibu jepesi. Mjukuu nimeshindwa kuamini hilo jibu.
 
Wajukuu hawawezi kuelewa majibu mazito...ndio maana wababu wengi ama wanatoa hadithi au majibu ambayo ni practical..Mweleze tu huyo mdogo wako akawahi mchuma aone kama tamaa zote hazijafungwa gavana!!
 
oooh!
!
!

Ha ha ha ha, wanyampara hawatakaa waishe

unasimamia ndoa ya watu hadi unadhani hiyo xperience ni ya ndoa yako?
Acheni hizo banaaa...mimi nimewaambia msiniulize maswali wal msiweke alama za mshangao wala kuwa na doubts....:lol:shauri zenu nimeishaokoa ndoa kumi hadi sasa hivi ngoja shahidi yangu SL aje hapa
 
nimeelewa kwa nini chuo kikuu wapipewa 1+1= wote unaona wanaomba logarithm table wenye calulator wengine wanaomba waende maabara.
Hilo swali mbona babu katoa jibu sahihi, swali lilikuwa rahisi na babu katoa jibu rahisi.

Kuna usemi unasema ' kama huwezi kuelezea kitu kigumu kwa urahisi basi jua hata wewe hukielewi vizuri'

tatizo babu umeulizwa swali zito umetoa jibu jepesi. Mjukuu nimeshindwa kuamini hilo jibu.
 
Wajukuu hawawezi kuelewa majibu mazito...ndio maana wababu wengi ama wanatoa hadithi au majibu ambayo ni practical..Mweleze tu huyo mdogo wako akawahi mchuma aone kama tamaa zote hazijafungwa gavana!!

sasa babu kama ukioa vishawishi vinakufa naturally, kwanini wanaume waliooa wengi wanasumbua mabinti?
 
nimeelewa kwa nini chuo kikuu wapipewa 1+1= wote unaona wanaomba logarithm table wenye calulator wengine wanaomba waende maabara.
Hilo swali mbona babu katoa jibu sahihi, swali lilikuwa rahisi na babu katoa jibu rahisi.

Kuna usemi unasema ' kama huwezi kuelezea kitu kigumu kwa urahisi basi jua hata wewe hukielewi vizuri'

na kweli sikielewi, ngoja niendelee kumuhoji babu ili nielewe.
 
Mnawezaje kudumisha ndoa zenu pamoja na vishawishi vyote hvi vnavowazunguka?

Senetor,
Labda ungevitaja hivyo unavyoviona kuwa ni vishawishi. Unajua kuna watu wanapenda nyama mno na hadi wanazi-grade, lakini mie napenda maharage kuliko nyama, na huwa nashindwa kutofautisha nyama ya mbuzi na ya ng'ombe!
 
nimeelewa kwa nini chuo kikuu wapipewa 1+1= wote unaona wanaomba logarithm table wenye calulator wengine wanaomba waende maabara.
Hilo swali mbona babu katoa jibu sahihi, swali lilikuwa rahisi na babu katoa jibu rahisi.

Kuna usemi unasema ' kama huwezi kuelezea kitu kigumu kwa urahisi basi jua hata wewe hukielewi vizuri'

Wewe ndio umeliewa vizuri somo la Babu....Kuanzia sasa utakuwa Dada Mkuu....Hawa akina Hus bado wanahitaji kupigwa msasa zaidi ili waweze kuwaelewa watu wa 1947!

sasa babu kama ukioa vishawishi vinakufa naturally, kwanini wanaume waliooa wengi wanasumbua mabinti?

Hao wanakuwa hawajao bali wanafanya majariobio...Sisi tulipooa sense za kuona vitu vyote vya nje zilikufa kabisa...Tuliambiwa kuwa vile viapo ndiyo dawa kuua matamanio ya extras!!
 
Wewe ndio umeliewa vizuri somo la Babu....Kuanzia sasa utakuwa Dada Mkuu....Hawa akina Hus bado wanahitaji kupigwa msasa zaidi ili waweze kuwaelewa watu wa 1947!

Hao wanakuwa hawajao bali wanafanya majariobio...Sisi tulipooa sense za kuona vitu vyote vya nje zilikufa kabisa...Tuliambiwa kuwa vile viapo ndiyo dawa kuua matamanio ya extras!!

kwahiyo babu kila ukitamani unakumbuka kiapo na tamaa inakata hapo hapo eeh?
 
Yaani hadi hapo bado una mashaka na maelezo ya Babu...Hebu jiandae tukale mahari ili ujionee mwenyewe kwa vitendo!!

Audio ni ngumu sana ila audio/visual ni very very simple!! Try it!
 
Sie tulioishi na watoto hadi wajukuu tunajua tu kiu ya watoto ya kutaka kujua yaliyowazidi umri.

Sijui kama kuna mtoto ambaye alikwepa kumuuliza mama yake jinsi watoto wanavyopatikana au wanawatoaje tumboni!!!!

Jamaa yangu ana watoto 3 wote madume..siku moja walitembelewa na niece wao, ngoja washangao jinsi alivyotofauti na wao na kwamba anakojoaje bila dudu!!

Kuishi kwingi ni kuona mengi kajukuu!!

Babu DC
 
Yaani hadi hapo bado una mashaka na maelezo ya Babu...Hebu jiandae tukale mahari ili ujionee mwenyewe kwa vitendo!!

Audio ni ngumu sana ila audio/visual ni very very simple!! Try it!

haya babu. Nasikia vibabu vya zamani havipendi kubishiwa. Lol.
 
Back
Top Bottom