mwarabu feki
JF-Expert Member
- Feb 16, 2023
- 811
- 1,811
Uanzishe Alhamisi usikuHawa Mikia wamekuwa na kiherehere sana cha kuwahi kuanzisha nyuzi za live updates hata mechi zisizowahusu.
Wanakaa kusubiria saa 6 usiku kuamkia siku ya mechi wanaanzisha Uzi.
Sasa nawauliza je hii mechi wanataanzisha Uzi lini?
Kama hawawezi kuanzisha nawauliza Je Mimi mwarabu feki niwaanzishie uzi lini?
Alhamis mbali sana mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]Uanzishe Alhamisi usiku
Kazi yetu ndio hii mkuu[emoji23][emoji23]Vijana mnafanya kazi saa ngp?
Ngoja niuanzishe mkuuAnzisha sasaivi mkuu
Anzisha mkuuNgoja niuanzishe mkuu
Ikitokea wameshinda siku hiyo uandae pa kujificha Mkuu.Wasimba nawauliza niuanzishe Uzi[emoji350][emoji350]
Watashindaje mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]Ikitokea wameshinda siku hiyo uandae pa kujificha Mkuu.
Kwani watakusaka hatari. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kiunyonge sanaSIMBA SC NguvuMoja.
Utakujwa chomolewa huo mwiko bila utaratibu..Wanathimba nawauliza niuanzishe Uzi[emoji350][emoji350]
Mtani achaa, tukiingia Semi, moderators wajiandae kudeal na mie, kwani kichaa changu kitakua Live hapa JF.Ikitokea wameshinda siku hiyo uandae pa kujificha Mkuu.
Kwani watakusaka hatari. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]