Umekosea.Mbona kafanywa Gongowazi Jumapili hamsemi?Au imeuma?Wafanywe tu kama wanavofanywaga hao wengine .....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umekosea.Mbona kafanywa Gongowazi Jumapili hamsemi?Au imeuma?Wafanywe tu kama wanavofanywaga hao wengine .....
Rivers alishinda 2-1 Nigeria, Wydad akashinda 6-0 Morocco.U
Ungesoma alama ungejua kuwa Rivers alishamfunga2 Wydadi kwao tafuta records
Mtapigwa kama ngoma, na mtaKANDWA LupasoRivers alishinda 2-1 Nigeria, Wydad akashinda 6-0 Morocco.
Yanga ameshinda 2-0 Nigeria, Je Tanzania atashinda ngapi?
Mbona wewe mgumu hivi kuelewa vitu vyepesi km hivi na umeweka avatar ya mtu mwenye akili nyingi[emoji23][emoji23]
Kwenye michuano ya kimataifa Simba ndio huwa wanakandwa LupasoMtapigwa kama ngoma, na mtaKANDWA Lupaso
Mods hawataki huo ujingaMbona muda unazidi kwenda wewe mwarabu feki ? Mwishowe Kalpana atanuna maana ana hamu na huo Uzi balaa
Na kajua kuwajambisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mods hawataki huo ujinga
April 16 ulishindwaje kulipa kisasi?Mkuu we huwezi soma alama za nyakati? Rivers kachapwa 2-0 Nigeria, Anakuja kumaliziwa 9-0 Kwa Mkapa. Huu Mwaka Yanga inalipa visasi Kwa timu zote zilizokuwa zinainyanyasa huko kimataiafa, tulianza na waarabu wa Tunisia, tukaje Kwa Tp Mazembe, Sasa imefika zamu ya Rivers united na tunamwombea Pyramids atoboe naye akutane na kisasi chetu.
Kisasi ni haki hata Allah anajua
Huko utopoloni mlikojaa mashogaa, tokaa viongozii hadi wachezaji na mashabiki kwa ujumlaaa!!!Mikia hamna vision, makombe yenu ni kuzifunga timu kwa mkapa. Uwanja mumeuroga kila kona umejaa matunguli na mapaka meusi. Mkienda nje mnahaha.
Yanga ni timu ambayo kwa sasa inaandaliwa kucheza professional football sio nyumban ama away.
Simba imejaa mashabiki mbumbumbu na ma barmaids wenye mihemko na makelele ya kitoto.
Kwa kweliii.Kabisa yaani. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kolo mbona umepandisha gesi ghafla? Unawaza utakavyopakatwa na mwarabu? Hata hilo kombe LA losers mtalisikia,hamtashinda kombe hata moja nyie mikia efusiiiHuko utopoloni mlikojaa mashogaa, tokaa viongozii hadi wachezaji na mashabiki kwa ujumlaaa!!!
Professional football ya nyokoooooo, mbna Al hilal aliwafurushaa mkaishia kuangukia losers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umevurugwaaaa shostieee poleeeee.