Swali kwa Wana Simba, Je Uzi wa live Updates Wydad vs Simba niuanzishe lini?

Swali kwa Wana Simba, Je Uzi wa live Updates Wydad vs Simba niuanzishe lini?

U

Ungesoma alama ungejua kuwa Rivers alishamfunga2 Wydadi kwao tafuta records
Rivers alishinda 2-1 Nigeria, Wydad akashinda 6-0 Morocco.

Yanga ameshinda 2-0 Nigeria, Je Tanzania atashinda ngapi?
Mbona wewe mgumu hivi kuelewa vitu vyepesi km hivi na umeweka avatar ya mtu mwenye akili nyingi[emoji23][emoji23]
 
Mtapigwa kama ngoma, na mtaKANDWA Lupaso
 
Mtapigwa kama ngoma, na mtaKANDWA Lupaso
Kwenye michuano ya kimataifa Simba ndio huwa wanakandwa Lupaso
20230218_210512.jpg
 
Mods hawataki huo ujinga
Na kajua kuwajambisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu kumbe mwarabu feki ndio anajua kuwapatia nyie mikia maana sijamuona scar's wala chama baleke humu ndani
 
Mkuu we huwezi soma alama za nyakati? Rivers kachapwa 2-0 Nigeria, Anakuja kumaliziwa 9-0 Kwa Mkapa. Huu Mwaka Yanga inalipa visasi Kwa timu zote zilizokuwa zinainyanyasa huko kimataiafa, tulianza na waarabu wa Tunisia, tukaje Kwa Tp Mazembe, Sasa imefika zamu ya Rivers united na tunamwombea Pyramids atoboe naye akutane na kisasi chetu.
Kisasi ni haki hata Allah anajua
April 16 ulishindwaje kulipa kisasi?
 
UNATUPA MAUJIKO TU SIMBA NA HUO UZI UNAOTAKA KUUANZISHA MAANA UTAKUJA UONE TABU KUANDIKA MAGOLI YA SIMBA
 
Mikia hamna vision, makombe yenu ni kuzifunga timu kwa mkapa. Uwanja mumeuroga kila kona umejaa matunguli na mapaka meusi. Mkienda nje mnahaha.
Yanga ni timu ambayo kwa sasa inaandaliwa kucheza professional football sio nyumban ama away.

Simba imejaa mashabiki mbumbumbu na ma barmaids wenye mihemko na makelele ya kitoto.
Huko utopoloni mlikojaa mashogaa, tokaa viongozii hadi wachezaji na mashabiki kwa ujumlaaa!!!

Professional football ya nyokoooooo, mbna Al hilal aliwafurushaa mkaishia kuangukia losers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umevurugwaaaa shostieee poleeeee.
 
Kolo mbona umepandisha gesi ghafla? Unawaza utakavyopakatwa na mwarabu? Hata hilo kombe LA losers mtalisikia,hamtashinda kombe hata moja nyie mikia efusiii
 
Back
Top Bottom