Swali kwa Wana Simba, Je Uzi wa live Updates Wydad vs Simba niuanzishe lini?

Watu wameshoshwa midomo[emoji850][emoji850][emoji850]
Kumbe mwarabu anaogopeka akiwa kwao kiasi hiki
 
Jitahidi jitahidi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mi naweza Mtani [emoji1787][emoji1787] unakuta napitaga kama sijui kusoma vile [emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ushavuka viwango vya WB ktk uvumilivu.
 
Uwepo wako duniani ni matumizi mabaya ya manii
 
Wee nae sasa lini uliwahi mfunga Wydad tena Robo final CL???

Umevurugwaaa?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mikia hamna vision, makombe yenu ni kuzifunga timu kwa mkapa. Uwanja mumeuroga kila kona umejaa matunguli na mapaka meusi. Mkienda nje mnahaha.
Yanga ni timu ambayo kwa sasa inaandaliwa kucheza professional football sio nyumban ama away.

Simba imejaa mashabiki mbumbumbu na ma barmaids wenye mihemko na makelele ya kitoto.
 
Leo kama hutaukimbia weekend ikifika weekend asiukimbie
UJINGA NI KIPAJI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…