Mimi sina tatizo na habari za Mungu zikiwa presented kama imani.
Imani haihitaji uthibitisho, haihitaji kuwa kweli. Definition ya imani ni kukubali kitu bila uthibitisho wala uhakiki kwamba ni kweli.
Imani kila mtu anaweza kuwa na yake na zikapingana na kila mtu akawa na haki ya kuwa na imani yake.
Nina tatizo na habari za Mungu zikiwa presented kama fact.
Fact inahitaji uhakiki na uthibitisho, inahitaji kuwa kweli.
Fact haiwezekani kila mtu akawa na yake.