Swali kwa wanaoamini uwepo wa Mungu

Swali kwa wanaoamini uwepo wa Mungu

Kwanini mnaomba maisha marefu hapa duniani wakati kuna maisha mazuri mbinguni kwa baba?

Kwanini kifo kinaogopwa wakati ni njia ya kwenda kwa baba kula raha, kufurahia maisha mazuri yasiyo na dhiki?
Tatizo ni hiyo njia, kama hiyo njia ingekuwa nayo ni ya raha basi kusingekuwa na mwenye kuogopa.
 
Mimi sina tatizo na habari za Mungu zikiwa presented kama imani.

Imani haihitaji uthibitisho, haihitaji kuwa kweli. Definition ya imani ni kukubali kitu bila uthibitisho wala uhakiki kwamba ni kweli.

Imani kila mtu anaweza kuwa na yake na zikapingana na kila mtu akawa na haki ya kuwa na imani yake.

Nina tatizo na habari za Mungu zikiwa presented kama fact.

Fact inahitaji uhakiki na uthibitisho, inahitaji kuwa kweli.

Fact haiwezekani kila mtu akawa na yake.
Kuna masuala ya kuhusu afya yakiwa presented kama sayansi ila unakuta kila mmoja anaeleza lake tofauti na mwenzie.
 
Hapo shida shida ni hawa waamini kusema imani sio imani bali ni hakika🤔🤔🤔
Na ukiamini huku ukiwa hauna uhakika na unachoamini basi hiyo imani yako inakuwa ni ya mashaka.

Hili neno uhakika halina maana ya kuwa ndio ukweli na si vinginevyo.
 
Back
Top Bottom