Heri ya pasaka wakuu. Nimekua nikiona mara nyingi hapa jukwaani wanaume wakizungumzia mwanamke huyu kuwa mtamu mara yule hakuwa mtamu.
Huwa nabaki kujiuliza maswali kama vigezo gani vinatumika kuwa grade wanawake. Na kwa wale waliokutwa watamu inawasadia kudumu kwenye mahusiano au ndoa? Like wanaume mkiwa na hawa hamuwaachi au hamchepuki?
Nategemea majibu mazuri kutoka kwenu wanaume.
Ni kweli kabisa dada yangu wanawake Huwa mnatofautiana sana wapo wanawake watamu sana
Mimi Nina mke wa ndoa na pia nilikuwa na michepuko mingi tu ila katika michepuko yote Kuna mmoja alikuwa mtamu sana
Kwanza alikuwa na figure ambayo Mimi naipena mrefu wa wastani, maji ya kunde na kamzigo ka wastani
Pia alikuwa hana longo longo siku ukitaka mzigo
Mkiwa eneo la tukio anajituma sana na Kuna mda wewe unaweza ukasema inatosha au ngoja nipumzike kwanza lakini yeye akaanza uchokozi Hadi mkaingia katika gemu sio mara Moja unaweza ukakuta 3 au 2 za mwisho zimetokana na uchokozi wake
Kuna siku wife alisafiri na watoto wote na ilikuwa kama safari ya wiki hivi nilipo wapandisha bus pale ubungo walivyo ondoko nikatoa simu nikamcheki nikamwambia njo Leo ulale kwangu wife hayupo akaniambia upo serious au unanitania nikamwambia nipo serious akaniambia poa nakuja
Nikamchukua tukaenda home tulifika mida kama ya saa 11 jioni akondoka kesho yake mchana Yani Kwa kweli Kila nikijiuliza nilipiga bao ngapi hilo jibu Mimi Sina Yani hata sijui tokea alivyokuja Hadi anaonfoka nilipiga bao ngapi
Baada ya kuondoka magoti yakawa yanauma Yani nikitaka kuinuka nasikia maumivu sikuwahi kumuliza na yeye alisikiaje Ile siku
So wanawake watamu wapo unaweza ukatoka demu ukaijutia pesa yako ya Lodge
Ila Kwa Sasa nimeshaachana na hayo mambo jamani Kwa Sasa mi ni mtu safi na muaminifu Kwa wife wangu