frank massawe
New Member
- Apr 7, 2011
- 2
- 1
ndo maana yake bwana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
True kabisaUlimbukeni unawasumbua na kuona weupe ni uzuri mwisho wa siku
hawathubutu kupita kwenye jua wanakuwa na mabakamabaka kama batiki
Hakuna uhusiano kati ya weusi na Uafrika. Kuna waarabu Afrika na kule Zimbabwe, Zambia na South Afrika kuna wazungu waafrika. Labda ubadili muktadha wa swali lako.wale wanaotumia madawa na cream za kujichubua inamaanisha WANAUKANA UAFRICA?
True kabisa
Salute na kwako piaMkuu salute kwako
Naona siku ya leo ni kufukua makaburi tuTrue kabisa
HahahahNaona siku ya leo ni kufukua makaburi tu