Tufanye ww ndo side chick wangu jibu gani nikikupa utaridhikaSide chick wako mwingine utamwambia nini?
Fangasi mshindoWewe ungejiteteaje?View attachment 926567
Kama Mimi ni mke wa huyo...
Akija hivyo ni MITAMA tuu mpaka achanganyikiwe.
Na lialama lenyew linavyochelewaga kuisha.
Nitamnyuka mpaka maji aite Mmah.
Kumwacha simwachi na mkong'oto utakuwa dozi mpaka alama iishe.