Swali kwa Wanaume

Swali kwa Wanaume

Mzigua90

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2014
Posts
38,342
Reaction score
88,625
Wewe ungejiteteaje?
IMG-20181108-WA0050.jpeg
 
Nimeng'atwa na kamdudu panawasha (huku unaendelea kukuna) nimekuna hapo hadi pamekua hivi.
 
Kuna mdada mmoja kazini nadhani ana matatizo yake baby,yaani nimempa hug kaningata makusudi sijui hili iweje,kesho ntampa kavu za uso na ntapunguza mazoea naye huku umekaza sura na mimacho.
 
Si wajua siku hizi jua ni kali sana mke wangu, sasa kipindi cha mchana nikapumzika chni ya ule mwembe mkuuubwa pale karibu na nanihii, si ndo ghafla chavichavi akanitambaa shingoni basi dah anawasha kweli, hebu nipatie jivu la moto kidogo nipake!.
 
Kama Mimi ni mke wa huyo...
Akija hivyo ni MITAMA tuu mpaka achanganyikiwe.
Na lialama lenyew linavyochelewaga kuisha.
Nitamnyuka mpaka maji aite Mmah.
Kumwacha simwachi na mkong'oto utakuwa dozi mpaka alama iishe.



Hahaha unaweza chezea kichapo hatari.
 
Back
Top Bottom