Mr. Purpose
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 1,468
- 2,767
Huyo utakayempiga siyo mwanaume ni mvulana tu! Hujakutana na wanaume!! Kama unabisha kiroho safi kuja PMKama Mimi ni mke wa huyo...
Akija hivyo ni MITAMA tuu mpaka achanganyikiwe.
Na lialama lenyew linavyochelewaga kuisha.
Nitamnyuka mpaka maji aite Mmah.
Kumwacha simwachi na mkong'oto utakuwa dozi mpaka alama iishe.
Mkuu tusichukuliane poaHuyo utakayempiga siyo mwanaume ni mvulana tu! Hujakutana na wanaume!! Kama unabisha kiroho safi kuja PM
I wish afanye hivyo.Hahaha unaweza chezea kichapo hatari.
So wataka niaminisha kuwa wewe unapiga wanaume makofi cute b?!Mkuu tusichukuliane poa
[emoji123]
Siyo makofi ni kelebu!!So wataka niaminisha kuwa wewe unapiga wanaume makofi cute b?!
Ndio wewe upo kwenye group la ATG?Hahaha unaweza chezea kichapo hatari.
Nimewai siti tu sinacha kujibu
Roba ya mbao na misumari.Hawa wenzetu wanajiweza kwenye kudanganya bwana
Basi sio weweATG ndo nini?
Kwa hasira na wewe una muongezea jialama jingine hahaha.Kama Mimi ni mke wa huyo...
Akija hivyo ni MITAMA tuu mpaka achanganyikiwe.
Na lialama lenyew linavyochelewaga kuisha.
Nitamnyuka mpaka maji aite Mmah.
Kumwacha simwachi na mkong'oto utakuwa dozi mpaka alama iishe.
Aiseee, atakuwa anakuangalia tuKama Mimi ni mke wa huyo...
Akija hivyo ni MITAMA tuu mpaka achanganyikiwe.
Na lialama lenyew linavyochelewaga kuisha.
Nitamnyuka mpaka maji aite Mmah.
Kumwacha simwachi na mkong'oto utakuwa dozi mpaka alama iishe.
Ndiyo maana mkifumaniwa/ mkidakwa mnabaki mmezubaa.Aiseee, atakuwa anakuangalia tu
Sio wote, umeshuhudia wangapi?Ndiyo maana mkifumaniwa/ mkidakwa mnabaki mmezubaa.