To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
- Thread starter
- #21
Eti wanasinzia🤣🥴Nimerudi mrembo
Ukweli binafsi Napenda na natamani mwanamke ambae mwili wake upo well balanced asiwe bonge sana Wala Mwembamba sana.
😂😂😂 tatizo la vibonge unaweza kuwa unapanga nae mipango ya kimaisha dakika 5 nyingi ashasinzia