Swali kwa wanaume?

Eti wanasinzia🤣🥴
 
Je,mama mjengo(mke) unapenda mwenye Mwili wenye mafuta au kaukau?

Na kwanini?

1. Mafuta, aliyenona, mbantu!
2. Rangi ya andazi, maji ya kunde, au rangi ya Edeni.

Sababu.
1. Watamu Sana
2. Wanajoto zuri
3. Rahisi kuwakojoza
4. Anaweza kukutengea hata kwenye upaja, kama hajisikii au anaumwa. Na ukaenjoi.
5. Akivaa vinguo vya mtego unaenjoi kumtazama.
6. Kummiliki unasema hapa Nina mtambo, ni kama unamiliki Lamborghini au Kadilaki au V8 flani hivi.
7. Ananirusha Roho na hata nikiibiwa naweza Kufa
Ndukii🏃🏃
 
🤣🤣Nimeona namba 7 tu😊😉
 
Mkuu kuna wamenona wanakua kama furushi.
 
Ivi kuna uwiano gani kati ya wanawake wembamba na ujeur kibur kisilani ubishi aaaaah hapana mie iz spoku zimunishinda bora nibak na yutong zangu tu
Nasikia pia ila Sina uhakika 🤣🤭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…