Mr Pixel3a
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 5,710
- 8,579
Anawajua bhana ,To yeye sio shangazi au hujawahi kumuona ?Kwamba huyo ni mfano wa mshangazi???
Okay nasubiria jibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anawajua bhana ,To yeye sio shangazi au hujawahi kumuona ?Kwamba huyo ni mfano wa mshangazi???
Okay nasubiria jibu
Kumbe nahumu kuna mishangazi Duh???!!!!Ndiyo mkuu🥴
Sasa kwa Mungu tunafika jasho limekata kabisaNa mnahangaika kwelikweli 😂😂
Wanajua kupenda au hawana namna ?Chunguza utajua mkuu sema uzuri wanajua kupenda na wana wivu sana hata akibeba mimba una uhakika mtoto atakaa kwenye chumba na sebule huko tumboni [emoji87][emoji87]
Mtafika mnatambaa kwakweli 😃😃Sasa kwa Mungu tunafika jasho limekata kabisa
Muweka mada mwenyew anaanza kuogopa maneno🤣🤣🤣🤣🤣🤣Watu Wana manenoo🤭
Mkuu kosea vyote ila sio kuoa ,unaweza kuzeek mapema kisa Hawa wanawakemzee huna pumzi😂
Mna tuvitu fulani hivi.... Havichoshi, kila ukishiba unatamani kula tena, na hata hauvimbiwini kweli 😊
😂😂Umelitafuta jmbo🤣🤣🤣Khaaa🙌
Jamani jamani jamani 😃😃😃Mna tuvitu fulani hivi.... Havichoshi, kila ukishiba unatamani kula tena, na hata hauvimbiwi
Please Naomba nikuone mama!Niachee🥴🤣🤣
kula hela ya pensheni mzee vibinti vitakuua😂Mkuu kosea vyote ila sio kuoa ,unaweza kuzeek mapema kisa Hawa wanawake
Ngoma mchezo mdogo kama hajui hajui tu sema zingine Zina smell kali🤣🤣Jamani jamani jamani 😃😃😃