We ni mhaya? Hongera kwa kununua iPhone ni 4s?Jamani natumia iPhone bado sinaiwezea vizuri inanizingua sana.siwezi kutoa like na pia naweza andikq neno likatokea neon kwa mfano.kwa hiyo mkiona mauzauza nisameheni bure.pia natamani nijibu kila comment ila nashindwa.
Nakubaliana nawe mkuu,ndio mAana kuna mahala nimesema hAta ikitokea kuwa ni lasima tuShee chumba hakuna baya litatokea ila pamoja na haul sio heshima na jamii laSima tu iwe na mashaka hivyo ingekuA mie ningelala kwa rafiki au yeye ningehakikisha analalA hotel,kwa kifupi Kama sio laZima sio vizuriDear, sio swala la ngono tu, kuna suala la privacy pia. Unaweza kuongea na boyfriend wako kwenye sim na sister amekaa hapo, tena ukaenda in tedails about what you miss from him. But nadhani sio rahisi kiivo kuzungumzia hayo hayo mbele ya kaka yako. huo ni mfano mmoja tu. Ni suala la convenience zaidi, far from being suala la ngono tu.
We ni mhaya? Hongera kwa kununua iPhone ni 4s?
Okay..kwa hiyo ni kwamba inawezekana ikatokea na ukalala naye but iwe katika mazingira ambayo namna nyingine imeshindikana kabisa..that's right..lakini iwe ndo kama kawaida hapana. Sasa huyu bwana hajafanya poa..
hivi mtu ana-save sh ngapi hadi akalale na dada yake chumba kimoja?
Hizo pesa zisizo na staha hata kwa maadili zina tofauti gani na pesa chafu zingine?
Yaani sh. 5000 inilaze chumba kimoja na kaka labda nina bishara ya mtaji ya laki 5?
Sijajua mantiki au mazingira ya kujikuta uko na kaka room moja na wala sio kwamba niemergency, tena zaidi ya mara moja???
hAta mi nashangaa maana huyo shemeji yangu uweZo wa kulala hotelini anao Ndo maana HAta shoga yangu hawaelewi na Mimi pia nimeshqngAa Ndo mana nikataka kusikia mtasemAje ,I hope mwezangu haolewi na familia ya wenye laana ,yaani wanafanya hivi kila huyo kaka akiwa dar
Mchumba wa rafiki yangu ana nyumba amejenga dar ambapo ameweka wapangaji lakini chumba kimoja Amempa dadake akae bure.Cha Ajabu ni kwamba Huyu kaka ambae Ni Mchumba wa rafiki yangu kila akija dar anashukia katika nyumba yake na kulala chumba kimoja na dada.Eti anatandika godoro chini na dada analalq kitandani.Swali langu kwa wanaume ni Je hivi unaweza kulala na dada wa tumbo Moja kwa baba na mama bila kupata hisia za ajabu?
Mie sio mwanaume lakini naweza kulala chumba kimoja na kakangu. Hata jua lishuke na mwezi na nyota sio mie wala kakangu ambae anaweza kumtamani mwenzie! Ni laana!