Swali kwa wanaume

Swali kwa wanaume

Jamani natumia iPhone bado sinaiwezea vizuri inanizingua sana.siwezi kutoa like na pia naweza andikq neno likatokea neon kwa mfano.kwa hiyo mkiona mauzauza nisameheni bure.pia natamani nijibu kila comment ila nashindwa.
We ni mhaya? Hongera kwa kununua iPhone ni 4s?
 
Dear, sio swala la ngono tu, kuna suala la privacy pia. Unaweza kuongea na boyfriend wako kwenye sim na sister amekaa hapo, tena ukaenda in tedails about what you miss from him. But nadhani sio rahisi kiivo kuzungumzia hayo hayo mbele ya kaka yako. huo ni mfano mmoja tu. Ni suala la convenience zaidi, far from being suala la ngono tu.
Nakubaliana nawe mkuu,ndio mAana kuna mahala nimesema hAta ikitokea kuwa ni lasima tuShee chumba hakuna baya litatokea ila pamoja na haul sio heshima na jamii laSima tu iwe na mashaka hivyo ingekuA mie ningelala kwa rafiki au yeye ningehakikisha analalA hotel,kwa kifupi Kama sio laZima sio vizuri
 
Siwezi kumtamani dada yangu kingono hata siku moja! Huyo jamaa kama anakuja na kukaa siku moja au mbili tu na chumba ni kikubwa cha kutosha na wanalala vitanda tofauti sioni kama ni ajabu.
 
kasheshe ipo hapa huu ubahili mwingine tupunguze hii siyo kawaida,pia yawezekana ni sangoma kampa hayo masharti haiwezekani iwe normal kila ukitia maguu jijini ulale na dadako room moja kwa mara moja inaleta sense kidogo but everytime,hapa inanitia mashaka :closed_2:
 
Okay..kwa hiyo ni kwamba inawezekana ikatokea na ukalala naye but iwe katika mazingira ambayo namna nyingine imeshindikana kabisa..that's right..lakini iwe ndo kama kawaida hapana. Sasa huyu bwana hajafanya poa..

Yes, of course.
 
hivi mtu ana-save sh ngapi hadi akalale na dada yake chumba kimoja?
Hizo pesa zisizo na staha hata kwa maadili zina tofauti gani na pesa chafu zingine?

Yaani sh. 5000 inilaze chumba kimoja na kaka labda nina bishara ya mtaji ya laki 5?

Sijajua mantiki au mazingira ya kujikuta uko na kaka room moja na wala sio kwamba ni emergency, tena zaidi ya mara moja???

Lazima mtiane tu ikishakuwa mara kwa mara mnalala room moja.
 
hivi mtu ana-save sh ngapi hadi akalale na dada yake chumba kimoja?
Hizo pesa zisizo na staha hata kwa maadili zina tofauti gani na pesa chafu zingine?

Yaani sh. 5000 inilaze chumba kimoja na kaka labda nina bishara ya mtaji ya laki 5?

Sijajua mantiki au mazingira ya kujikuta uko na kaka room moja na wala sio kwamba niemergency, tena zaidi ya mara moja???

hAta mi nashangaa maana huyo shemeji yangu uweZo wa kulala hotelini anao Ndo maana HAta shoga yangu hawaelewi na Mimi pia nimeshqngAa Ndo mana nikataka kusikia mtasemAje ,I hope mwezangu haolewi na familia ya wenye laana ,yaani wanafanya hivi kila huyo kaka akiwa dar
 
queenkami mi nakupa hongera ya kujitutumua na kukamata iPhone wengine uwezo ni mchina lazima nione kama big deal
 
Last edited by a moderator:
Mimi naweza kulala nae tena vizuri tu bila hata ya 'kitu' kustuka.
 
Mchumba wa rafiki yangu ana nyumba amejenga dar ambapo ameweka wapangaji lakini chumba kimoja Amempa dadake akae bure.Cha Ajabu ni kwamba Huyu kaka ambae Ni Mchumba wa rafiki yangu kila akija dar anashukia katika nyumba yake na kulala chumba kimoja na dada.Eti anatandika godoro chini na dada analalq kitandani.Swali langu kwa wanaume ni Je hivi unaweza kulala na dada wa tumbo Moja kwa baba na mama bila kupata hisia za ajabu?

niliwai watenganisha mtu na dada yake wasilale kitanda kimoja. nilikuwa ninafahamiana na huyo dada ila hatujazoeeana , sasa kila wakati ananiambia anatembelewa na kaka yake toka mji wa mbali, sikujua wanalalaje. siku moja kaka alipokuja nilialikwa kwa huyo dada, ssa sa ndo nikajua chumba cha dada, niliuliza kaka atalala wapi? wote waliniambia siku zote akija hulala kitanda kimoja, ndipo niliamua kuchukua yule mwanaume akalele kwangu "mzungu wa nne" na mimi. ninadhani iinauhusiano na kabila , sitaki kutaja hawa watu kabila gani. ila nilishangaa sana sana. na nilimwomba yule dada basi kama hilo ni jambo la kawaida siku moja aniruhusu mani nilale nae. jibu la ombi langu nitakusimulia siku nyingine......
 
Nahisi kuna walakini hapo. Hivi wanashindwaje kutafuta sehemu ya kulala mmojawapo mpaka walale wote chumba kimoja? hivi huyu bidada hana hata rafiki akaenda kulala huko labda hawana pesa ya gesti. Hakuna hata mpangaji mmoja wa kiume hapo? inaweza ikawa sawa usifikirie chochote kulala na dadako, lakini kimaadili si sahihi kabisa.... wana lao jambo nyuma ya pazia.
 
inawezekana kweli mimi siko sawa maana siwezi kulala na mwanamke yeyote bila kupata hisia za kimapenzi hata kama akiwa na sura mbaya vipi ila akiwa na kamgongo kazuri tu basi .
 
Nitakuja hapa,ngoja nigonge menyu kwanza!
 
Mie sio mwanaume lakini naweza kulala chumba kimoja na kakangu. Hata jua lishuke na mwezi na nyota sio mie wala kakangu ambae anaweza kumtamani mwenzie! Ni laana!
King'asti , Omba Kakaako Pepo lenye Tabia za Bishanga lisimpitie usiku utaokaojitusu kulala nae
 
Last edited by a moderator:
Mimi siwezi kuvutiwa kabisa na dada yng ever,pia kwa ajili ya kuheshimiana siwezi kulala nae chumba kimoja kabisa unless otherwise no any other alternative.
 
Mie sio mwanaume lakini naweza kulala chumba kimoja na kakangu. Hata jua lishuke na mwezi na nyota sio mie wala kakangu ambae anaweza kumtamani mwenzie! Ni laana!

Straight to the point!!!! Thank you best 🙂
 
Kaka aliezaliwa na mie tumbo moja hawezi kuwa na tabia za Bishanga (whatever that means). Tena wakati mwingine it is not about money!
King'asti , Omba Kakaako Pepo lenye Tabia za Bishanga lisimpitie usiku utaokaojitusu kulala nae
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom