Swali kwa wanawake wanaovaa jeans za kubana

Swali kwa wanawake wanaovaa jeans za kubana

Tangu mifuko ya nylon ipigwe marufuku ,basi tunapata tabu sana, maana ilikua inasaidia sana ,unavaa mfuko miguuni then unaivuta Suruali kulee ishatoka[emoji3] [emoji3]

Kwasasa tunatumia hadi dk 10 Suruali haijavuka aisee ,unazunguka chumba kizima huku ukijitahidi itoke ,yaani hatarii[emoji3]
 
Tangu mifuko ya nylon ipiwe narufuku ,basi tunapata tabu sana, maana ilikua inasaidia sana ,unavaa mfuko miguuni then unaivuta Suruali kulee ishatoka[emoji3] [emoji3]

Kwasasa tunatumia hadi dk 10 Suruali haijavuka aisee ,unazunguka chumba kizima huku ukijitahidi itoke ,yaani hatarii[emoji3]
Niajiri mimi kwa ajili ya hiyo kazi...
 
mara nyingi zinakuwa na zipu ambayo kwa haraka huwezi kuiona.
 
Unazungumzia zipi? Kama hizi skin jeans zenye high waist or low waist mbona zinavuka fresh tu ila ikifika magotini ni lazima ukae kuivuta
 
[emoji3] [emoji3] utaweza mkuu?, ni mtiti ohoo, ukimaliza kuivua unapumzika na kuvuta pumzi Kwa nguvu kama umetua mzigo uliokua umebebeshwa[emoji3] [emoji3]
Si dhani kama madada poa hii washaifikiria kwamba inapoteza muda wao na uchumi wao kwa ujumla maana kuvua tu dk kazaa sasa kama una ahadi na mtu zaidi ya mmoja si inakuchelewesha
 
Unazungumzia zipi? Kama hizi skin jeans zenye high waist or low waist mbona zinavuka fresh tu ila ikifika magotini ni lazima ukae kuivuta
Zingine zipo kama mpira hizo huenda inakuwa poa lakni zile ngumu lazma mtu aivute mkuu
 
Zinazogoma kuvuka ni zile za manzese!! Halafu demu unaanzaje kuwa na nguo km hiyo wakati huna wa kukuvuaaaa
 
Back
Top Bottom