Swali kwa wanawake wanaovaa jeans za kubana

Swali kwa wanawake wanaovaa jeans za kubana

Mwambie aiongeze tena[emoji23][emoji23]
Mie nikienda kwa fundi huwa nahakikisha hadi nguo inanitosha vizuri na nakuwa comfortable ndo namuacha
Hahaa, kwahiyo humuachii mpka nguo itoshe nzuri hii mi huyu nilimpa tu nikamuachia kazi ,nilivyofata hata sikujaribu nikaondoka kufika home dah afu ni mbali kidogo itabidi nimpelekee Fundi mwingine tu.
 
Siku ingine jaribisha pale pale kuavoid usumbufu 😅
 
Chinekeeeee... Huyu ni weye? Tumbo kama huli! Au wanakunyima chakula jemeni?
Hii ni mda huu nilikuwa napika.
Ninashindilia sana aiseee.
Sema mazoezi kwa sana na detox kwa wingi.
By the way Jabari umepotea sana humu nini mbaya?
IMG_20191211_123344.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom