chuganian
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 1,067
- 1,109
financial services,
mfuko wa mkate mbona ni yechu dear..fulu kujiachiaš
mfuko wa mkate mbona ni yechu dear..fulu kujiachiaš
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naskia hizo huvutika kama mpira tofouti na suruali zetu hizi...Tunasaidiwa kuvuta na wapendwa wetu..
ZinastretchNaskia hizo huvutika kama mpira tofouti na suruali zetu hizi...
Yana ukweli hayo au ni blah blah...
Maana nilikuwa najiuliza kwa mbano ule kule chini mguu unapitaje na hips zenu zina fit vipi...Zinastretch
Nashangaa wanazungumzia Kama Tunavaa ngozi
Heshima yako mkuuZinastretch
Nashangaa wanazungumzia Kama Tunavaa ngozi
Aise sawa...Sijui zinatengenezwa na nini
Ila najua material nzuri ni Denim
Habari yako kiongozi?Heshima yako mkuu
Hahaa, sikufikiria hili eti kumbe tuna njia mbadala pia[emoji1] [emoji1] mambo ni yente yente haina usumbufu tena mamalai.mfuko wa mkate mbona ni yechu dear..fulu kujiachia[emoji126]
Hahaa, kuna siku mpaka nimemuita Dogo anisaide kuvuta, kisigino kiligoma kupita kabisa yani[emoji3]Pakeni mwilini mafuta ya kula au mafuta ya cherehani itapita vizuri.
Unataka ubishane na wavaaji?Zingine zipo kama mpira hizo huenda inakuwa poa lakni zile ngumu lazma mtu aivute mkuu
Mleviiii, mambo!Wacha weeh