Swali kwa wanawake wanaovaa jeans za kubana

Swali kwa wanawake wanaovaa jeans za kubana

Zinastretch
Nashangaa wanazungumzia Kama Tunavaa ngozi
Maana nilikuwa najiuliza kwa mbano ule kule chini mguu unapitaje na hips zenu zina fit vipi...

Maana wanawake wengine wana matako makubwa na yanajaa vizuri kabisa kwenye suruali zenu...

Kumbe zimetengenezwa na polyster...
 
Hahaa, kuna siku mpaka nimemuita Dogo anisaide kuvuta, kisigino kiligoma kupita kabisa yani[emoji3]
1575910372890.png
 
Ngoja waje kukupa muongozo...

Sidhani kama wanapata taabu, maana zingine zinavutika kama big G...



Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom