Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,051
Hahaa, kwahiyo humuachii mpka nguo itoshe nzuri hii mi huyu nilimpa tu nikamuachia kazi ,nilivyofata hata sikujaribu nikaondoka kufika home dah afu ni mbali kidogo itabidi nimpelekee Fundi mwingine tu.Mwambie aiongeze tena[emoji23][emoji23]
Mie nikienda kwa fundi huwa nahakikisha hadi nguo inanitosha vizuri na nakuwa comfortable ndo namuacha
Hahaa, kwahiyo humuachii mpka nguo itoshe nzuri hii mi huyu nilimpa tu nikamuachia kazi ,nilivyofata hata sikujaribu nikaondoka kufika home dah afu ni mbali kidogo itabidi nimpelekee Fundi mwingine tu.
Hii ni mda huu nilikuwa napika.Chinekeeeee... Huyu ni weye? Tumbo kama huli! Au wanakunyima chakula jemeni?
Kawaida tu kama nguo zingine mkuu, ila siku hizi tumerahisishiwa kuna zinazovutika ,hizi hazina shida kabisaMbona taabu hivyo? Zinawasaidia nini nguo za aina hiyo?
financial services,