swali kwa wanawake

swali kwa wanawake

wana jukwaa
hivi nyie wanawake mkitongozwa na mkakubali mnachuka muda gani kuanza kuomba pesa? au tuseme kunyenga au kuhonga
kuna mdada kumu kanisikitisha sana kwa kweli ata kama hali ya magu tete lakini sio kwa staili ile aliyokuja nayo.. duu!
ndio maaana nauliza hili swali kwa hapa labda siku hizi utaratibu umebadilika kwenye swala la kuhongwa
ebu tujuzane mnachukua muda gani kuanza kuomba hela baada ya kutongozwa
Siku hizi mkuu Hawa wanawake wameshaona kutongozwa ni kitega uchumi ukimtongoza tu Happ Happ kiznga kizito kinakuja, wanawake wenye mapenzi ya kwel ni wamasai tu, maana hawana makuu, wenyewe wanavaa zao shuka tu wanaridhika na maisha yanaenda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huyo kapigwa kizinga na hataki kutoa hela
anakuja jf kutafuta huruma zetu we mfariji tu
mwambie asimpe kabisa
hahah mizinga tunapigwa sana, lakini watumie akili kidogo basi wakati wakupiga mizinga yao
 
Siku hizi mkuu Hawa wanawake wameshaona kutongozwa ni kitega uchumi ukimtongoza tu Happ Happ kiznga kizito kinakuja, wanawake wenye mapenzi ya kwel ni wamasai tu, maana hawana makuu, wenyewe wanavaa zao shuka tu wanaridhika na maisha yanaenda
Sent using Jamii Forums mobile app
umenichekesha mdau! kweli wamasai ndio wana mapenzi yakweli wanavaa mashuka yao na kichwani unakuta kipara kimetulia habari za kwenda saluni hakuna hapo
 
torvic wewe mpe tu kama unaona she deserve it, haya mambo hayana formular bana.
pesa anaweza akapewa lakini atakuwa kapote ma points kibao ya mwanamke wa kisasa
 
anakupima kama utakua ni baba unayechukua majukumu ya kuilea familia(responsibility) ni kitu tunachokiangalia ...financial security...wengine hawatasema hapa...lol ...wewe mmwagie madolari hayo...
 
torvic achana na mambo ya kupoteza points, kosa ni lako unasubirije mpaka uombwe? wewe ulitakiwa umpe kila mwanamke anapenda mwanaume anayemsupport kifancial, pengine wewe kakuona mkono wa birika dada wa watu kajilipua.
Labda kama hukuwa na malengo nae.
 
Akishaanza kukwambiya BABY NIKWAMBIYE KITU? wewe zima SIMU,,, kinachofuata ni KIZINGA

Sent using Jamii Forums mobile app
ukiona meseji kama hiyo unaijibu "niambie iko kitu lakini zisiwe habari za hela kwasababu mimi sina hela" alafu unamalizia na I LOVE YOU
walai utayaoga matusi yote unayoyajua na usiyoyajua
 
ukiona meseji kama hiyo unaijibu "niambie iko kitu lakini zisiwe habari za hela kwasababu mimi sina hela" alafu unamalizia na I LOVE YOU
walai utayaoga matusi yote unayoyajua na usiyoyajua

Trovic umenichekesha kweli….😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
torvic achana na mambo ya kupoteza points, kosa ni lako unasubirije mpaka uombwe? wewe ulitakiwa umpe kila mwanamke anapenda mwanaume anayemsupport kifancial, pengine wewe kakuona mkono wa birika dada wa watu kajilipua.
Labda kama hukuwa na malengo nae.
nimekuelewa sana, kila mwanamke anapenda kuona anapewa suppport na mtu wake financial au kwa namna nyingine na ni kazi ya mwaname kumsupport mwanamke wake
tatizo linakuja pale unapoona mahusiano ndio kwanza yanaanza tena inawezekana bado hamjayaanza rasmi yani labda umemwambia nakupenda nataka kuwa na wewe, mdada unajitoa ufahamu hapo hapo unaomba hela! kweli?
 
Hakuna formula ya uombaji pesa, we Kama unayo mpe huyo mdada kama pochi haiko vizuri mfahamishe tu ,kama hujaridhika na uombaji wake ongeanae tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
torvic pengine hakutaki kaona akukatae kwa gia hiyo nami nlitaka kukushangaa jinsi wanaume mnavyopenda kutoboka dhidi ya mwanamke unayempenda, hapo hamjapendana uamuzi ni wako
 
Trovic umenichekesha kweli….😀😀😀😀😀😀😀😀😀
😀 😀 😀 mapenzi ya kweli yanapimwa na meseji kama hizo lakini ukiituma ujiandae kisaikojia kwa majibu yake
 
torvic pengine hakutaki kaona akukatae kwa gia hiyo nami nlitaka kukushangaa jinsi wanaume mnavyopenda kutoboka dhidi ya mwanamke unayempenda, hapo hamjapendana uamuzi ni wako
hapo upo sahihi amu, inawezeka ilikuwa ni gia tu kukataa na pia inawezeka alikuwa kiakazi zaidi.. toa pesa nikupe nitembee, hakuna muda wa kupoteza
 
Back
Top Bottom